Chama kipo Imara Kuliko Jana. Wataisoma namba. Hatari sana

Chama kipo Imara Kuliko Jana. Wataisoma namba. Hatari sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho.

Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa kama dawa.

Screenshot_2023-05-27-20-25-07-145_com.instagram.android~2.jpg
 
Basi tupatiwe pisi kali kila mwaka iwepo kwenye ilani
 
ccm mbele kwa mbele tumeipenda wenyewe chaguo letu milele na wavimbe wapasuke watajijua wenyewe wacha waisome namba ee waacheni waandamane ee ccm mbele kwa mbele
 
Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho.

Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa kama dawa.

View attachment 2637168
Viongozi wapo kazini na Ilani imetekelezwa kikamilifu.
Yu
Naanza kuteleza uchaguzi wa Serikali za mitaa Kisha Mitano Tena Kwa mama
Samia 25/30.
 
Back
Top Bottom