Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wa Dodoma 🤣🤣🤭Kweli!
Chama kimekamilika KILA idara!
Huku jokate,kule kairuki,hapo huyo kweli chama kipo poa SANA!!
Jana nilikuja hadi chamwino pale!nikasepa!UTAKUA umeniharibia nini!!?Wa Dodoma 🤣🤣🤭
Hivi umeoa? Tuanzie hapo kwanza 🤒Jana nilikuja hadi chamwino pale!nikasepa!UTAKUA umeniharibia nini!!?
Ndipo mchongo ulipo haribikia!!?Hivi umeoa? Tuanzie hapo kwanza 🤒
Kwan mke alitangulia chamwino?🤣🤣🤣🤣🤣Ndipo mchongo ulipo haribikia!!?
Nilikusubiri hukuja!nikala kuku nikasepa na vi wine nikapoza!!Kwan mke alitangulia chamwino?🤣🤣🤣🤣🤣
🤭Uchoyo tu🙄🤒Nilikusubiri hukuja!nikala kuku nikasepa na vi wine nikapoza!!
Ungekuja ningekupa vyote!!!sema hukuja!🤭Uchoyo tu🙄🤒
Viongozi wapo kazini na Ilani imetekelezwa kikamilifu.Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho.
Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa kama dawa.
View attachment 2637168
Kuna mtu ananipea hivyo vyote.....isipokuwa kimoja tuUngekuja ningekupa vyote!!!sema hukuja!