Chama kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini..

Chama kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini..

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam
CHAMA kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini,
1. Barabara mbovu
2. Maji Safi na salama ni shida
3. Elimu mbovu
4. Afya duni
5. Lishe duni
6. Viongozi kuishi kwa anasa
7. Umasikini uliokithiri

Nashauri tuendelee kuwachagua atuletee maendeleo kwani vyama vingine vitaleta Vita Kama ukrani na urusi Israeli na palestina. Kidumu CHAMA tawala
 
60yrs tuna changamoto kubwa la elimu.tunaandaa taifa la wajinga kwa kasi kubwa sana.NASHUKURU DOTO BITEKO AMESHTUKA kwa mdomo wake amekiri taifa linaangamia kwa elimu inayotolewa na hizi medium school.hizi shule wanaandaa kizaz cha hovyo
 
Yaani Kuna watu HAWANA haya Wala aibu wanakula wanavibiwa huku majority wakitaabika na kila mwaka viongozi wa serikali wanashindana kununua V8
 
60yrs tuna changamoto kubwa la elimu.tunaandaa taifa la wajinga kwa kasi kubwa sana.NASHUKURU DOTO BITEKO AMESHTUKA kwa mdomo wake amekiri taifa linaangamia kwa elimu inayotolewa na hizi medium school.hizi shule wanaandaa kizaz cha hovyo
Mkuu si shuleni tu ndio mtoto anapoandaliwa hata huku kwenye jamii tunamoishi na hususani Kwenye familia kunachangia sana katika kumjenga mwanadamu.
Kwa sasa Kwa mtazamo wangu tatizo kubwa la umomonyokaji wa maadili katika linaanzia kwenye familia
 
Wasalaam
CHAMA kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini,
1. Barabara mbovu
2. Maji Safi na salama ni shida
3. Elimu mbovu
4. Afya duni
5. Lishe duni
6. Viongozi kuishi kwa anasa
7. Umasikini uliokithiri

Nashauri tuendelee kuwachagua atuletee maendeleo kwani vyama vingine vitaleta Vita Kama ukrani na urusi Israeli na palestina. Kidumu CHAMA tawala
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Wasalaam
CHAMA kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini,
1. Barabara mbovu
2. Maji Safi na salama ni shida
3. Elimu mbovu
4. Afya duni
5. Lishe duni
6. Viongozi kuishi kwa anasa
7. Umasikini uliokithiri

Nashauri tuendelee kuwachagua atuletee maendeleo kwani vyama vingine vitaleta Vita Kama ukrani na urusi Israeli na palestina. Kidumu CHAMA tawala
Acha wewe!
Kwanza miaka 60 iliyopita ulikuwa haupo.
Nyie ndo mliozaliwa bila mipango mnatuletea figisu siye tuliokuwa miioni 9 tulioleta uhuru 1961.
Inabidi mrudi mlikotoka!!!!
 
Ngoja Lucas Mwashambwa aione hii atakavyobubujikwa na machozi ya huzuni.
Nchi ipo salama na Inaendelea kusonga mbele na kupaa kimaendeleo kama ndege vita.kwa sasa Tanzania ni miongoni mwa nchi nchi kumi zenye uchumi mkubwa barani Afrika na ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi nzuri.

Tanzania ni nchi chaguo namba moja kwa watalii na wawekezaji. Tanzania chini ya Rais Samia imejenhe vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 2, hospitali zimejengwa kila kona ikiwepo vituo vya afya 234 vilivyotokana na tozo za miamala ya simu,hapo bado sijazubgumzia vingine vingi tu, kuongezeka kwa mikoa iliyounganishwa katika grid ya Umeme ya Taifa kama vile kigoma na Katavi,ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya barabara .utolewaji wa ajira maelfu kwa maelfu na hivi karibuni serikali inakwenda kutoa ajira elfu 46.kupandishwa mishahara na madaraja kwa watumishi wa umma na mengine mengi sana
 
Ili Tanzania Iendelee Inahitaji Mambo Kadhaa:-
1 . Watu
2 . Ardhi
3 . Siasa Safi
4 . Uongozi Bora

Vitu Hivyo Mwalimu Nyerere Akivisema Zamani Ukweli Ndani Ya CCM Havipo/Havipatikani

Maadui Wa Tanzania Ni Hawa Hapa:-
1 . Ujinga
2 . Umasikini
3 . Maradhi

4 . CCM
 
60yrs tuna changamoto kubwa la elimu.tunaandaa taifa la wajinga kwa kasi kubwa sana.NASHUKURU DOTO BITEKO AMESHTUKA kwa mdomo wake amekiri taifa linaangamia kwa elimu inayotolewa na hizi medium school.hizi shule wanaandaa kizaz cha hovyo
Watoto wa Biteko wanasoma wapi?
 
Dola iliamua chama kimoja kikae madarakani Muda mrefu hivi!ikasaidia mafisadi kujipanga coz uongozi unaofuata wanaujua ni nembo ilee ile ,wanachukua KADI ya CCM wanaunga mkono wanaowataka ubunge Ili wapiganie maslahi yao nchini na ufisadi hauishi nchini na miundombinu mibovu!!

Lakini.kama Dola ingeamua vyama visitabirike vitakavyoshinda chaguzi na uhakika leo Hali isingkua mbaya hivi uionavyo!!mafisadi wangepigwa chenga na vyama vingejipendekeza Kwa wananchi na nchi ingesonga mbele sana!
 
Wasalaam
CHAMA kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini,
1. Barabara mbovu
2. Maji Safi na salama ni shida
3. Elimu mbovu
4. Afya duni
5. Lishe duni
6. Viongozi kuishi kwa anasa
7. Umasikini uliokithiri

Nashauri tuendelee kuwachagua atuletee maendeleo kwani vyama vingine vitaleta Vita Kama ukrani na urusi Israeli na palestina. Kidumu CHAMA tawala
Aisome mwashambwa sijui mwashamba maana ndio domo kaya humu kusifia ujinga kila siku nyau huyu
 
Back
Top Bottom