Chama kisichoshiriki uchaguzi kifutwe

Chama kisichoshiriki uchaguzi kifutwe

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Msingi wa uwepo wa chama ni siasa na uchaguzi Mtima wa Siasa za vyama vingi.
Unapokuwa na chama kinachotoa visingizio wakati wa uchaguzi na kutupigia kelele wakati kufanya maendeleo.Vyama vya namna hii vinapaswa kufutwa mara moja.
 
Vp unasemaje kuhusu vyama vinavyo wanyima wananchi haki yao ya kupiga kura kuchagua viongozi bora wanaowataka kwa kulazimisha wapitishwe bila kungingwa?
Nazo zifutwe? Make ndiyo zinatucheleweshea maendeleo kwa kupitisha viongozi wasiofaa bila kura ya wananchi.
 
Msingi wa uwepo wa chama ni siasa na uchaguzi Mtima wa Siasa za vyama vingi.
Unapokuwa na chama kinachotoa visingizio wakati wa uchaguzi na kutupigia kelele wakati kufanya maendeleo.Vyama vya namna hii vinapaswa kufutwa mara moja.
Naunga mkono hoja. 👍👍👍👍
 
Vyama vinavyo andikisha wanafunzi under 18 viongozi wake wanyongwe
 
Mlikuwa mnachezea chaguzi za nchi mkitegemea watu wataendelea kushiriki kama mabwege ili mpore na kujifanya mnakubalika. Sasa hivi watu wamepuuza huo ushenzi uitwao uchaguzi, hatimaye mnalazimisha washiriki ili wafadhili waone kuna watu wengi wanajitokeza kuwachagua. Hakuna mtu anayejitambua ataendelea kushiriki huo upuuzi. Endeleeni kuandikisha watoto.
 
Tanzania hakuna uchaguzi huru na haki lakini Kuna maigizo ya uchaguzi.Maana mshindi huwa anajulukana ni ccm Kwa sababu polisi,tiss na tume ya uchaguzi huiba kura ili kukiwezesha chama Cha majambazi kushinda
 
Msingi wa uwepo wa chama ni siasa na uchaguzi Mtima wa Siasa za vyama vingi.
Unapokuwa na chama kinachotoa visingizio wakati wa uchaguzi na kutupigia kelele wakati kufanya maendeleo.Vyama vya namna hii vinapaswa kufutwa mara moja.
Maruhani yameshaanza kuwapanda kichwani😂
 
Tanzania hakuna uchaguzi huru na haki lakini Kuna maigizo ya uchaguzi.Maana mshindi huwa anajulukana ni ccm Kwa sababu polisi,tiss na tume ya uchaguzi huiba kura ili kukiwezesha chama Cha majambazi kushinda
Ni uchafuzi kwa kutumia rasilimali za nchi
 
Msingi wa uwepo wa chama ni siasa na uchaguzi Mtima wa Siasa za vyama vingi.
Unapokuwa na chama kinachotoa visingizio wakati wa uchaguzi na kutupigia kelele wakati kufanya maendeleo.Vyama vya namna hii vinapaswa kufutwa mara moja.
Jinga la wanao wewe.
 
Haina tofauti na kumwambia mtu, Lima vizuri na upalilie lakini usivune, mimi nitavuna wakati huawekeza lolote.
 
Hivi mahakama ikiwa ndio chombo cha kutoa haki kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu na iliamua kwamba uchaguzi kusimamiwa na tamisemi si haki ila usimamiwe na chombo huru ambayo ni tume huru ya uchaguzi lakini serikali ya sisiyemu ikaikataa hiyo rulling hiyo kwa sababu ambazo hazijulikani sijui kwa maslahi ya nani!
 
Back
Top Bottom