Imebainika kuwa kushindwa kwa Chama cha Mapinduzi katika kuongoza Taifa hili kunatokana na uzee uliokizunguka chama hicho kila kona. Viongozi wake wote wakuu ni wazee wa zaidi ya miaka 60;
Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Pamoja na uzee kusifika kwa hekima na busara, lakini uzee huondoa bidii, nguvu, ubunifu na kujituma.
Uzee wa CCM na viongozi wake unatugharimu.........