Chama la mnyama shamba la bibi leo

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
2,232
Reaction score
2,491
1.MANULA 2.NYONI 3.ZIMBWE 4.MURSHID 5.MWANJALE 6.MKUDE 7.KICHUYA 8.MUZAMIRI 9.MAVUGO.10. NIYONZIMA 11.OKWI

 
Wanamichezo wenzangu mi ni shabiki lialia wa mnyama. Kutokana na presha ya mechi ya watani usiku wa kuamkia siku ya mchezo me kupata usingizi inakuaga shida.hata nikiupata unakua wa kuungaunga uliojaa ntodo za kuhusu mechi iyo basi nianzie hapa ndoto ya kwanza ni kwamba nikiwa ofisini nipo busy na wateja.nikastuka mpira ushaanza na nmechelewa bandani.nikamuuliza jamaa mmoja akanambia simba washafungwa goli moja na Ajib nikaumia sana mpaka nikaogopa kwenda bandani maana ningezomewa na mashabiki wa yanga .nikajikaza nikaenda kufika kumbe jamaa alinidanganya ile naingia bandani mara pap yanga anapigwa bao la kwanza kwa kichwa na dogo ambaye sio maarufu kwenye kosi la simba ilikua mpaka mapumziko simba 1 yanga 0 sjui mechi imeisha vp maana ndoto imeishia ,,ht
 
Sawa ni suala la muda tu,tutapata majibu.
 
Mnyama keisha ua tayari dogo anatafunwa mifupa km kigoro aliyevunja ungo kumbikili..
 
Hata mimi nmeota kipindi cha kwanza vyura wamepigwa moja na mnyama
 
Ngoja tuone lakini ndoto zangu zinakuaga za kweli sema leo nimeshindwa elewa kwanini zimekua ndoto mbili tofauti kwann jamaa alinidanganya
 
hiyo ni half time, lala tena kwa ajili ya kipind cha pili, utaendelea kuota
 
Badala ya kwenda kulala umalizie ndoto yako unakuja huku kuanzisha thread,kalale tena ili ndoto yako itimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…