kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
1.MANULA 2.NYONI 3.ZIMBWE 4.MURSHID 5.MWANJALE 6.MKUDE 7.KICHUYA 8.MUZAMIRI 9.MAVUGO.10. NIYONZIMA 11.OKWI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nmeota kipindi cha kwanza vyura wamepigwa moja na mnyamaWanamichezo wenzangu mi ni shabiki lialia wa mnyama. Kutokana na presha ya mechi ya watani usiku wa kuamkia siku ya mchezo me kupata usingizi inakuaga shida.hata nikiupata unakua wa kuungaunga uliojaa ntodo za kuhusu mechi iyo basi nianzie hapa ndoto ya kwanza ni kwamba nikiwa ofisini nipo busy na wateja.nikastuka mpira ushaanza na nmechelewa bandani.nikamuuliza jamaa mmoja akanambia simba washafungwa goli moja na Ajib nikaumia sana mpaka nikaogopa kwenda bandani maana ningezomewa na mashabiki wa yanga .nikajikaza nikaenda kufika kumbe jamaa alinidanganya ile naingia bandani mara pap yanga anapigwa bao la kwanza kwa kichwa na dogo ambaye sio maarufu kwenye kosi la simba ilikua mpaka mapumziko simba 1 yanga 0 sjui mechi imeisha vp maana ndoto imeishia ,,ht
Tutawalambisha ice [emoji2] [emoji1]Mbona unachanganya mambo hiyo picha ya mwisho niaje?
Hata mimi imenishangaza yaani yanga kweli?!!yaani wamekuwaje!Mbona unachanganya mambo hiyo picha ya mwisho niaje?