Chama la mnyama shamba la bibi leo

Chama la mnyama shamba la bibi leo

Chirwa.Ajibu.Tambwe .Ngoma wakicheza kwa pamoja alafu mnyama asifungwe..tunawauza wote dirisha dogo
 
Maneno maneno waachie akina hadija kopa dkk 90 ndo zitaongea
 
Simba nguvu moja.

Hivi yule dada Nifah aliishia wapi na yeye alikuwa Yanga lialia!!
 
Ndoto ikienda kombo, tafadhali msing'oe viti shamba la bibi.
Na Ndoto zina kawaida ya kwenda kinyume!
 
Simba nguvu moja.

Hivi yule dada Nifah aliishia wapi na yeye alikuwa Yanga lialia!!

Mademu huwa hawatabiriki timu ya bwanaake ndio timu yake anakopenda msela wake nayeye ndio huko huko..ukute kampiga chini bwanaake shabiki wa yeboyebo sasa abebwa na jamaa wa msimbazi Nifah sasa ni mnyama damu na ukute yupo taifa kavaa jezi no 8 ya NIYONZIMA
 
1919b0e583d5305f29e04b5e9db5fa91.jpg
 
Mkuu iyo picha ya mwisho ndio vipiii kila la heri mnyama
 
Back
Top Bottom