Chama langu Barca Linanitia mashaka sasa

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa wenzangu wa camp nou, jamani tupo sawa kweli? Tukumbuke tuko No 2 msimamo la liga
Psv ni timu yakuishinda 2-1 kweli? Tena wametukosa nyingi za wazi!
Vipi tukikumbana na psg Kwa hali hii?
Naogopa Sana, kiasi tumedrop jamani
Tatizo Valvede? Nini tatizo tusaidiane mawazo hapa
 
majeruhi na kocha pia ana zingua... huyu kocha ana nikumbusha enzi za yule kocha wa Uruguay alivyo kuja kufel barca mpaka kelo...

Dembele anaye kaa benchi amekuwa msaada sana mpaka basi... raktic... kiungo ana takiwa awepo wakati wote hata akiwa majeruhi... umtiti ana takiwa acheze asipo kuwepo ni shida... Roberto ndio majeruhi na yeye... kuna kiungo wa hovyo nazani kutoka Brazil na beki lancet na marco nazani siwapi nafasi za Mara kwa mara... Alex Vidal sifahamu alipo Ila kama ameuzwa ni uamuzi kichaa wa kocha... kosi lime yumba...

Nasikia wapo ktk mipango ya kumrejesha Neymarjr...
 

Psg nayo yakutusumbua!! Tulishampiga 6 umesahau!
 
Nilisikia eti dembele aondoke neymar arudi, sijui kwa nini kama ni kweli tusimuuze Suarez? Nae kachangia mno kukosa nafasi za wazi ktk mechi za karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…