GE2025 Chama makini kinachojali wananchi kisingetumka gharama kubwa namna kwenye Uchaguzi usio na upinzani

GE2025 Chama makini kinachojali wananchi kisingetumka gharama kubwa namna kwenye Uchaguzi usio na upinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Maendeleo ya Tanzania bado ni duni sana.

Shule nyingi vijijini zimechoka hazina vyoo, madarasa,. Zahanati nyingi vijijini zimechoka.

Alafu mgombea wa Chama tawala anazunguka na wasanii, mabasi 200, wafuasi na chawa wa chama zaidi ya 10000 kwa gharama kubwa.

Kwa nini hizo pesa zisitumike kwa maendeleo ya wananchi?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Mh?
 
Yaani umebaki na gori peke yako tena uko offside ingawa refa kakuachia unapiga shuri mpaka gori linaanguka,haya ndiyo yanaenda kuwatokea Maccm
 
Waafrica hatujielewi...na ndiyo maana kina Trump wanatudharau. Tutavaa chupi za mitumba milele. Tuna kila aina ya utajiri lakini hatujitambui. Mfano mdogo Bandari kitovu cha mapato yako unampa ati mtu akuendeshee akili hiyo kweli.
 
G3oeqp9WgAA7JMM.jpeg
 
Maendeleo ya Tanzania bado ni duni sana.

Shule nyingi vijijini zimechoka hazina vyoo, madarasa,. Zahanati nyingi vijijini zimechoka.

Alafu mgombea wa Chama tawala anazunguka na wasanii, mabasi 200, wafuasi na chawa wa chama zaidi ya 10000 kwa gharama kubwa.

Kwa nini hizo pesa zisitumike kwa maendeleo ya wananchi?
CCM lazima ikarabati kila wakati mfumo wake wa kutawala lasivyo itaanguka. Upinzani siku zote upo kiasili wala hauitaji nguvu kubwa kujiorganize, yaani uko kama maji ya mto yenyewe yanaenda tu kufuata mkondo hayahitaji mashine ya kuya sukuma yaharakishe au kuyaelekeza sehemu ya kwenda, utapata tabu wewe unaye taka yaharakishe au yaende polepole au unapotaka kuyazuia au kuyaelekeza unakotaka wewe yaende. Ukifanya hivyo itakugharimu, utatoka jasho jingi ukipunguza uwezo wa kuyadhibiti naturally yatabomoa kingo zako au baada ya muda vizuizi vyako vitachoka na kulegea na maji hayatakuonea huruma kama umetumia nguvu nyingi kuya kusanya pamoja au kuyazuia, ukilegea tu yanaboa nakuendelea na safari yake.
Kwa hiyo CCM lazima itumie pesa nyingi kukusanya nguvu kwa sababu mfumo wake wa kujiendesha hauna uasilia, umetengezwa na watu. Hivyo walioutengeneza wakilegea utavurugika na kukivurugika upinzani utachukua nafasi.
Ndo maana CHADEMA wanatumia juhudi kidogo sana kijimobilize hata uisambaratishe vipi. Nafasi ndogo tu wanayoipata tena kwa pesa kiduchu au hata bila pesa wanatengeneza vibe kubwa sana 'la kufa mtu' kitu ambacho kwa sasa CCM hawawezi.
 
Back
Top Bottom