political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Iyo taarifa wameitoa TFF endelea kusema naumwaUnaumwa ndugu .
Tena Ni ugonjwa serious.
very true mkuu chama alitakiwa wamwajibishe kwa zile dangerous foul alizochezaKama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.
ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.
Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Karibu mihogo hapa coco Beach upunguze makasiriko.....Kama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.
ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.
Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Leo ulifanikiwa kula mihogo au ulitumia mkate?very true mkuu chama alitakiwa wamwajibishe kwa zile dangerous foul alizocheza
Mpira wa kibongo mpaka aibu, fair play sio lazima.Tushaziona bato za Kean na Viera walikuwa hawapeani mikono na hawajawahi kusimamishwa.Poleni mashabiki wa Simba, yule mpishi wenu tegemezi mtamkosa kwenye michezo mitatu. Kwasisi Yanga mambo ni byuti byuti, tuna viungo wengi hadi wengine hatujui tuwafanyie nini.[emoji16][emoji16]
View attachment 2409964View attachment 2409965
Cassava na samaki wa kukaangaLeo ulifanikiwa kula mihogo au ulitumia mkate?
Nendeni mkashitaki CAS kuwa mnaonewaKama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.
ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.
Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Sisi atushtaki popote kwakua uyo wanae mpa upendeleo tunamkanda muda wowote.Nendeni mkashitaki CAS kuwa mnaonewa
Utakuwa umechanganyikiwa.Kama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.
ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.
Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Chama ana makosayake specific ambayo yamekua yakijirudia ilitakiwa awajibishwe Kwa Kila kosa Kadri kanuni zinavyotaka.Utakuwa umechanganyikiwa.
Yani wachezaji wote wawili wafanye kosa linalofanana halafu unataka adhabu apewe wa Simba pekee, punguza ushabiki maandazi.
Sasa mayowe ya nini kila siku malalamiko kama changudoa aliyekopwa. Mkivimbiwa mihogo mnakuwa wasumbufu sana nyie viumbeSisi atushtaki popote kwakua uyo wanae mpa upendeleo tunamkanda muda wowote.