Chama na Aziz K wafungiwa michezo mitatu

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Poleni mashabiki wa Simba, yule mpishi wenu tegemezi mtamkosa kwenye michezo mitatu. Kwasisi Yanga mambo ni byuti byuti, tuna viungo wengi hadi wengine hatujui tuwafanyie nini.[emoji16][emoji16]

1667886985791.jpg
1667887041050.jpg
 
Kama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.

ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.

Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
 
very true mkuu chama alitakiwa wamwajibishe kwa zile dangerous foul alizocheza
 
Kama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.

ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.

Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Karibu mihogo hapa coco Beach upunguze makasiriko.....
 
Poleni mashabiki wa Simba, yule mpishi wenu tegemezi mtamkosa kwenye michezo mitatu. Kwasisi Yanga mambo ni byuti byuti, tuna viungo wengi hadi wengine hatujui tuwafanyie nini.[emoji16][emoji16]

View attachment 2409964View attachment 2409965
Mpira wa kibongo mpaka aibu, fair play sio lazima.Tushaziona bato za Kean na Viera walikuwa hawapeani mikono na hawajawahi kusimamishwa.

Yaani TFF <×^^@^&+*£%@//+572^@%@_ ZAO.
 
Kama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.

ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.

Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Nendeni mkashitaki CAS kuwa mnaonewa
 
Mihogo mle nyie.....Afu nyie nyie mlalamike..! Nyie mbona walalamishi hivyo?

Nakumbuka Msukule alipotua tu hapo kwenu Ushauri Wake Wa Kwanza Aliwaasa kuachana Lawama.!

Sasa badala Ya Ku concentrate Na Africaine Tunisia nyie mnalalama huku.! Mkijatahamaki mshabanduliwa CAF.
Acheni hizo..!
 
Kama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.

ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.

Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Utakuwa umechanganyikiwa.

Yani wachezaji wote wawili wafanye kosa linalofanana halafu unataka adhabu apewe wa Simba pekee, punguza ushabiki maandazi.
 
Chama ana makosayake specific ambayo yamekua yakijirudia ilitakiwa awajibishwe Kwa Kila kosa Kadri kanuni zinavyotaka.
 
tunatafuta mapato..... unapogeuza mapungufu/ udhaifu wa mtu kuwa chanzo cha mapato.
 
Back
Top Bottom