Mihogo iyo nakula toka nimejitambua, tunachotaka haki ionekane Ii mhusika ajirekebishe.Sasa mayowe ya nini kila siku malalamiko kama changudoa aliyekopwa. Mkivimbiwa mihogo mnakuwa wasumbufu sana nyie viumbe
Ila yanga ni kama mke mdogo sio kwa kulalamikaKama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.
ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.
Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Wala mihogo banaKama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.
ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.
Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Afande SebhoUnaumwa ndugu .
Tena Ni ugonjwa serious.
Peleka barua ya malalamikoKama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.
ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.
Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Kwahiyo chama akifungiwa ndio utaepuka kichapo cha tarehe 9,mihogo fcKama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.
ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.
Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Yaani mpaka hili nalo mnaleta Usimba na Uyanga? Kama unafuatilia mpira wa dunia ya kwanza TFF wametoa boko na ni aibu.Mashabiki wa yanga manara kashawajaza ujinga kichwani kila kitu mnalalamika tu manara kashashika masikio TFF inaionea yanga.
Ndiyo! Fair play ni muhimu kwa wachezaji.Salam ni lazima.?