Chama na Aziz K wafungiwa michezo mitatu

Sasa mayowe ya nini kila siku malalamiko kama changudoa aliyekopwa. Mkivimbiwa mihogo mnakuwa wasumbufu sana nyie viumbe
Mihogo iyo nakula toka nimejitambua, tunachotaka haki ionekane Ii mhusika ajirekebishe.
 
Hv kumbe hujui sakho huwa ni namba kumi mzuri pia..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu kuna phiri pia yaani wako wengi tu usjali taabu iko pale pale
 
Kama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.

ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.

Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Ila yanga ni kama mke mdogo sio kwa kulalamika
 
Kama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.

ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.

Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Wala mihogo bana
 
Peleka barua ya malalamiko
 
Chama anawanyima sana usingizi utopwi adhabu adhabu si mwende mkawaambie wamfungie?
 
Unamjua Nelson okwa ww au unamsikia simba ni complete team sio kama wale wanasajilia mabeki halafu nafasi za beki akikosekana anacheza kiungo kama wanavyomuhangaisha faridi musa na kibwana shomari wakati lomalisa yupo na Bryson wanasugua benchi ujuha ulioje huo.
 
Mashabiki wa yanga manara kashawajaza ujinga kichwani kila kitu mnalalamika tu manara kashashika masikio TFF inaionea yanga.
 
Kama ni kweli uo ni uhuni wa Bodi ya ligi kugoma kumuwajibisha Chama Kwa kosa la kucheza (unsportsman faul)dhidi ya Khalid Aucho na kanuni kutaka Afungiwe na kupigwa faini.

ili litakua tukio la tatu Kwa Chama kutowajibishwa na Bodi ya ligi katika michezo tofauti iliyo zikutanisha Simba na Yanga.

Wanacho fanya Bodi ya ligi ni mwendelezo ule ule wa ku balance hali, Ili ionekane hawakufanya upendeleo kumbe walio soma Cuba wamesha wa Zoom kitambo.
Kwahiyo chama akifungiwa ndio utaepuka kichapo cha tarehe 9,mihogo fc
 
Mashabiki wa yanga manara kashawajaza ujinga kichwani kila kitu mnalalamika tu manara kashashika masikio TFF inaionea yanga.
Yaani mpaka hili nalo mnaleta Usimba na Uyanga? Kama unafuatilia mpira wa dunia ya kwanza TFF wametoa boko na ni aibu.

Hii issue ni fair play na si lazima kupeana mikono.Keane na Viera walikuwa hawapeani mikono, Evra na Suarez na hawakuwahi kusimamishwa.

Ila huku kwenu msiojua mpira issues mshaiweka kwenye Usimba na Uyanga. Wewe kwa akili yako hii adhabu itamuumiza Yanga? Hivyi Key Player wa Simba msimu huu huu ni nani kama sio Chama?Halafu anasimamishwa kwa sababu za kipuuzi kabisa. Sasa subirini halafu mtaona hii adhabu ya kipuuzi ya TFF itamuumiza nani.

Ila mpira wa bongo unasafari ndefu.
 
Back
Top Bottom