Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Chama kasema asipopangwa kocha litamkuta jambo ingia IG yake uone majibu yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kwako kunywa pombe na kuvuta sigara pekee ndio utovu wa nidhamu,aiseeeChama hanywi pombe, havuti Sigara, huo utovu wa nidhamu ni upi ?
Au kadai haki yake ?
kuna timu imaitwa sharprangers fc huko kwenu na chinchilaz fc vipi nafasi ipoAje Kawajense FC huku Mpanda maana Simba wamemchoka wanamtafutia sababu.
Pale mchezaji anapokuwa mkubwa kuliko club, kazi kwenu mlitusakama sana kwa swala la Fei baada ya kusema ili yy arudi basi Rais aondoke, haya kazi kweni na ana miaka miwili hapo kasaini juzi tu hapo.Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu.
Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao watapelekwa katika Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu.
Taarifa hiyo imewakumbusha Watumishi wake wote kuzingatia misingi ya maadili na nidhamu kwa kuwa Klabu haitasita kumchukulia hatua yeyote atakaethibitika kwenda kinyume na utaratibu huo.
View attachment 2849131
Timu ya Mhindi usishangaeSimba ukidai madeni yako wanasema hauna nidham
Ndio,haikua nidhamuu kibiashara.Kwa hiyo kosa lake ni kukacha Mo Embe na kwenda kugongea juisi za watengenezaji wengine?
Safi sana!! Klabu yetu ina mfalme mmoja tu n aye ni SMBA SPORTS CLUB!!Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu.
Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao watapelekwa katika Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu.
Taarifa hiyo imewakumbusha Watumishi wake wote kuzingatia misingi ya maadili na nidhamu kwa kuwa Klabu haitasita kumchukulia hatua yeyote atakaethibitika kwenda kinyume na utaratibu huo.
View attachment 2849131
Vitu vingine ni kuoneana tu, hata ningekuwa Mimi nisingekubali.Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu.
Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao watapelekwa katika Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu.
Taarifa hiyo imewakumbusha Watumishi wake wote kuzingatia misingi ya maadili na nidhamu kwa kuwa Klabu haitasita kumchukulia hatua yeyote atakaethibitika kwenda kinyume na utaratibu huo.
View attachment 2849131
hata kumgomea mkufunzi ni utovu pia, bila nidhamu taasisi haiwezi kufika popote. Nafikiri Simba wamemlea vibaya sana kiasi hata asipopangwa ama akatolewa sub na timu ikafungwa ni matatizo kwa kocha.Chama hanywi pombe, havuti Sigara, huo utovu wa nidhamu ni upi ?
Au kadai haki yake ?
Kila jambo na wakati wake, "utoto, ujana na uzee".Kocha Mkuu wa klabu ya Simba Abdelhak Benchikha ametangaza kwamba hamwitaji tena kiungo wa timu hiyo Cleotas Chama na kwamba hatacheza hata kama atabakishwa klabuni hapo.
![]()
ZA NDAAANIII....BENCHIKHA AMKATAA MAZIMA CHAMA....ATAKA MBADALA WAKE HARAKA....
Simba SC Mabosi wa Simba inaelezwa watakuwa na kikao cha kwanza cha kinidhamu na kiungo wao, Clatous Chama leo kwa njia ya mtandao...sokalabongo.com
Umeongea kiweledi sana...Kila jambo na wakati wake, "utoto, ujana na uzee".
Akina Sekilojo Chambua, Athuman Idd Chuji nao walifanya makuu lakini muda ni ukuta.