Chama na kipa Ally ndio walioiondosha Simba mashindanoni

Ya kwamba Widad ni timu dhaifu ?
Kweli mashabiki wa utopolo ni manyani na mambwa kama alivyo sema aliye kuwa kocha wao.
Wydad imeshuka kiwango kabisa. Hii sio Ile Wydad iliyotwaa ubingwa huu wanaoushikilia Sasa. Simba wangeshambulia kipindi Cha pili lazima wangepata goli, lakini ona hata Baleke alipewa kazi ya kuzuia, timu ilikuwa inajilinda kulinda kigoli kimoja Cha nyumbani. Utaona Wydad watapigwa goli nyingi na mamelodi
 
Huyo dogo ally si alisifiwa Kwenye Mechi ya derby na Mechi ya waydad dar, Mpira ni mchezo wa makosa na mwenzako anatumia kukuadhibu jipange next time
 
Reactions: Tui
Hiyo widad unayo ita dhaifu si ndo iliwafunga vibonde mnacheza nao kwenye kombe lenu la michongo magoli sita bila ?
Inahusiana nn na mada iliyopo , mbona unakuwa mjinga, Yan unafurahia kushindwa ,
 
Ukiona mtu anaanzisha nyuzi za kuwaponda wachezaji huyo mpuuzieni sio mwenzetu...hajui mpira kuwa
siku zote sio alhamis..
Au ni utoooo
Unasahau kuwa hii ni robo finali ya 4 au unajizima data? Ally Salim alidaka penalti lini wapi mechi ipi hadi aaminiwe kwenye mechi kubwa hivi? Ni sababu ipi ya kisayansi iliyomnyima kipa namba 2 kudaka kwenye mechi Ile?
 
Hata hivyo hili ni SoMo kwa Beno Kakolanya, tabia yake itaendelea kumtafuna kila aendako. Aliua kwa upanga kule Yanga ameuawa kwa upanga Huku Simba pia.
 
Mikia FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC bana.
 
kocha aliharibu tangu game ya kwanza. ..Sakho/Phili walitakiwa tangu game ya kwanza. .Ntiba alipotea ilegame lkn kocha hakumtoa,Chama alipotea game ya pili lkn aliacha km game ya kwanza. ..kwangu mm shida siwachezaji bali kocha ndio ilikua ttzo
 
kocha aliharibu tangu game ya kwanza. ..Sakho/Phili walitakiwa tangu game ya kwanza. .Ntiba alipotea ilegame lkn kocha hakumtoa,Chama alipotea game ya pili lkn aliacha km game ya kwanza. ..kwangu mm shida siwachezaji bali kocha ndio ilikua ttzo
Kocha huyu ni kweli alikisea sana. Kwanza alishindwa kujua kuwa baadhi ya wachezaji wake Wana umri mkubwa lakini aliruhusu wachezaji walewale wacheze mechi ya Ihefu, derby, Wydad mechi ya kwanza na Wydad mechi ya pili. Hizi ni mechi kubwa na ngumu zote kuwaacha wachezaji waaalewaaale wacheze dk 90. Pili alikubali kudanganywa kuwa kipa namba 2 hastahili kuweko kiwanjani na tatu kuamua kwenda kupaki basi kule Morocco. Alipaswa kuchezesha wachezaji kwa kuwapunzisha kama Nabi anavyofanya
 
Acha kuongea kwa hisia wewe.
 
Hakuna timu dhaifu ikaenda robo fainal ya klabu bingwa,timu dhaifu zote zilitolewa kwenye kilabu bingwa na kutupwa kwenye kombe la vilaza huko wakapambane wenyewe.
Inamaana ikitokea Memirod wakamfunga Wydad basi ni matokeo ya mchezo kwa sababu kwenye mashindano yeyote ni razima mshindi apatikane haijalishi wanao shindana wana uwezo gani.

Ukitaka kujua ugumu wa kuingia robo fainal ya klubu bingwa angalia rekodi ya timu yako Utopolo haijawahi hata kunusa hiyo robo fainal tangu kuanzishwa kwake miaka zaidi ya 80,makundi yenyewe imeingia mara moja mwaka 1998 mm nikiwa nanyonya leo hii nina familia yanga haijawahi kukanyaga hata makundi ya klubu bingwa.
 
kocha aliharibu tangu game ya kwanza. ..Sakho/Phili walitakiwa tangu game ya kwanza. .Ntiba alipotea ilegame lkn kocha hakumtoa,Chama alipotea game ya pili lkn aliacha km game ya kwanza. ..kwangu mm shida siwachezaji bali kocha ndio ilikua ttzo
Mwacheni kocha ninyi makocha uchwara. Si huyuhuyu kocha Robert aliyezomewa nanyi alipombadilisha chama katika mechi moja ya league? Jifunzeni kupokea matokeo, hayo ya ange, ange, ange... ni upuuzi mtupu.
 
Inahusiana nn na mada iliyopo , mbona unakuwa mjinga, Yan unafurahia kushindwa ,
Kuna upumbavu zaidi ya kuiita timu kama Wydad eti ni dhaifu.
Mashabiki wa utopolo ni manyani kama alivyo sema aliye kuwa kocha wenu.
 
Unasahau kuwa hii ni robo finali ya 4 au unajizima data? Ally Salim alidaka penalti lini wapi mechi ipi hadi aaminiwe kwenye mechi kubwa hivi? Ni sababu ipi ya kisayansi iliyomnyima kipa namba 2 kudaka kwenye mechi Ile?
Kwani mwaka jana alipo daka Manula Simba ilisonga mbele?
Mashabiki wa utopolo ni manyani kama alivyo sema aliye kuwa kocha wenu.
 
Ila binadamu bwana, kweli tenda wema amsha zako! Huyu huyu Chama kawabeba mabegani mara ngapi leo mnamnanga kwa kukosa penalt? Penalt haina mwenyewe kaka... Anyway.. huo ni ugomvi wenu madunduka!!
Vichaa vipo vingi sana, hata cha kulaumu ni kichaa pia.
 
Naomba huu mjadala wa kutolewa Simba sc mashindanoni ufungwe kwa muda, focus iwe kwa Yanga sc ambao wana kibarua kigumu kuivusha nchi jioni ya leo.
 
Tushaachana na walioshindwa sasa hivi habari ya mjini ni Yanga kuandika historia mpya kwenye soka la Afrika na Tanzania kiujumla, Atuwezi kukaa tunajadili watu wanaobeba kombe la robo fainali kila msimu ni kama mtoto aliyedumaa kwa kukosa lishe bora ataendelea na udumavu mpaka mwisho wa maisha yake!
 
Acha kuongea kwa hisia wewe.
Huwezi kuzuia hisia zetu kwa maneno rahisi TU hayo. Simba na Yanga ndio furaha zetu, Simba ameukimbia urithi kwa Mama ujue wa 10m kila goli. Sasa hivi watatamba Yanga TU kma nao watapita. Tutaficha wp nyuso zetu?
 
Aaaah we jamaa hujui kuwa hata Marais wa nchi Kuna Marais dhaifu na Marais imara? Marais wezi na Marais waadilifu? Marais waliiopatikana kwa njia za mchogo na Marais waliochaguliwa na wananchi wao? Hivyohivyo, Hata club bingwa Kuna timu dhaifu pia ukilinganisha na nyingine, Simba na Wydad ni miongoni mwao. Simba walifika pale kwa kupitia njia ya Malawi, msumbiji na Uganda, nani aliwapangia hiyo njia hakuna ajuae,
 
Hao loosers wa shirikisho yaani kila timu inayopata ugumu kuifunga Simba ni dhaifu.Walitaka Simba igongwe 7 kama matarajio yao kila siku yalivyo huku wakisahau kuwa mpira haupo hivyo.

Sasa sijui wao waliokula mbili mtungi na Simba hao hao watajiita nani.

Yaani wanajidhalilisha sana sijui wamejulia mpira ukubwani kwa maoni ya kipuuzi wakati wao wamebondwa na walizidiwa kwa kila kitu na hao Simba tena wanaowaita ni wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…