Chama na kipa Ally ndio walioiondosha Simba mashindanoni

Mbona mimitatizo naona ni Onyango? lile goli la wazi kwake,haiwezekani wewe ndio mchezaji wa mwisho unaruka juu unasukumwa badala ya kutafuta faul we unaenda tu kiboyaboya.
Pale wenzake wa epl wana dive kabisa inakua faul.
 
Wewe mbona unaumia kuliko hata wanasimba?Au Haji Manara in disguise?
Mpira una matokeo matatu.Au upo deluded na hujui chochote kuhusu mpira?Una timu yako hayo mawazo peleka huko.
Ulikuwa wapi walipofungwa 2?Na walipotolewa Champions League?Kocha uchwara!
Wewe ndio kajamba nani kabisa!! Timu inaishia robo fainali kwenye mashindano yote ya caf, yaani champions na confederations, wewe maandazi unabaki tu kuimba iyenaiyena, huo ni ushabiki wa kijinga kabisa, yaani hulioni tatizo!!
Nilikuwa ninamuangalia Beno anasikitika sana wakati Ally anafungwa lile goli kipuuzi, kuonyesha kuwa kocha mzoefu huenda angeokoa pale. Sijui uliangalia wakati Ally yuko golini wakati wa upigaji wa penati, hakuwa comfortable kabisa hali iliyosababisha kudondoka kwa namna ileile penati zote badala ya kudaka au angalau kujaribu kuzifuata penati zinakopigwa.

Tunajua kuwa mo na mbeleko za TFF na waamuzi wetu ndio zinazotumika kuifikisha Simba hapa tulipo sana. Mfano, Onyango amezoeshwa kusamehewa na waamuzi makosa anayofanya kwa wachezaji wenzake kwenye ligi lakini makosa yaleyale aliyokuwa akisamehewa na waamuzi wetu yaliadhibiwa na waamuzi wa caf na kuisababishia hasara timu yetu. TFF hii ya karia imekuwa ikiipatia nafuu Simba kwa njia za haramu kwenye usajili (Morrison, Yusuph Muhillu, Juma Mgunda kutoka coastal), ratiba (viporo vingi hadi watu wakapiga kelele), waamuzi (kupewa penati nyingi, magoli ya off-side, magoli ya wapinzani kukataliwa) na kupulizia dawa wapinzani (timu kugoma kuingia vyumba vya kubadilishia nguo). Simba ina rundo la wachezaji ambao wanalipwa mishahara tu mwaka mzima bila kucheza, na wengi wao ni wa kigeni (sawadogo, banda, sakho, okrah, qatara, akpan, okwa) na hata wa ndani (gadiel, kenedy, kapama, ,,,,,,.........). Eti zuzu kama wewe unasema hali ni sawa tukuachie timu yenu, mavi matupu. Hebu ona Yanga kila mchezaji ana kazi na anatoa matokeo pamoja na figisu nyingi wanazofanyiwa ni makundi, robo hadi nusu na bado picha lao linaendelea huenda wakafika finali, kuku wewe!!!
 
Tafuta bwana.Naona mimba changa ya Simba inakupa tabu sana.
Ulivyotolewa Champions league na hiyo Utopolo yako hiyo mimba changa ilikusumbua kama sasa?Au upo obsessed na Simba tu?Umechukia kanunue kamba jitundike.
 
Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi, uongozi wa Simba, Chama na Ally Salim.

Wydad waliokolewa na golikipa wao kudaka mikwaju 2 iliyopigwa vizuri na kapo Kapombe na Chama kitu ambacho Ally Salim hakuweza kukifanya kutokana na uchanga wake golini.

Uongozi wa Simba na bench la ufundi kuacha kumtumia Beno Kakolanya kwasababu za kijinga, kipuuzi, kibwege, unsporting na kichawi kukaa langoni kudaka penati na kumuamini kijana kinda kulisababisha Simba kuingia hasara kubwa sana ya kutolewa mashindanoni na timu dhaifu ya Wydad, Ningekuwa mimi ni mo ningemsaka aliyesema Beno kipa namba 2 asikae golini kwenye mashindano haya makubwa baada ya Manula kuumia.

Chama na Kapombe hawakuwa makini na kazi Yao pia ingawa penati huwa hazina mwenyewe lakini "why us" every day tutolewe robo final?

Bench la ufundi lilipaswa kumwingiza Beno kudaka japo penati TU badala ya mtoto Ally ambae aliteseka sana kujirusha chini kwa namna ileile kwa penalti zote.

Swali ni je, Simba itakuwa na ubavu wa kumzuia Inonga abaki Simba? Inonga pekee ndiye aliyepunguza idadi ya magoli siku Ile.
Nachukia sana Mashabiki Wapumbavu na Washamba mno kuhusu Mpira wa Miguu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nachukia sana Mashabiki Wapumbavu na Washamba mno kuhusu Mpira wa Miguu.
I could not agree more.Na hawa washamba na wapumbavu ndio wamekuwa wakijifanya hata wataalamu wa benchi la ufundi.Ukiwauliza kama hata wamefundisha timu ya daraja la 4 wanabaki kutumbua macho.
 
Wydad hii sio ilee iliyoshinda champions buana wacha utani wako. Wydad hii ilikuwa inapata ushindi mwembamba wa kusuasua na kubahatisha. Endeleeni kujidanganya wenye mkidhani wydad ndio kipimo chenu cha ubora (SI Unit yenu)
 
I could not agree more.Na hawa washamba na wapumbavu ndio wamekuwa wakijifanya hata wataalamu wa benchi la ufundi.Ukiwauliza kama hata wamefundisha timu ya daraja la 4 wanabaki kutumbua macho.
kwahiyo kwako wewe simba kuishia robo fainali mara nne kwenye mashindano yote ya caf ni amri ya Mungu, nonsense!!
 
Tafuta sababu lakini ujinga wako usimhusishe Mungu.Man City na Arsenal wameshinda Champions league?Kwa hiyo ni timu zisizokuwa na mipango?
 
umeshadandia timu za ulaya, we mzee wewe, unatafuta uhalali wa simba kutolewa kwenye races.
 
Simba imeendelea na upuuzi jana na namungo, ndio maana tunasema Wydad imeshuka kiwango ndio maana Simba imepumua. Eti Kuna choko mmoja anasema Simba Katoa sare na namungo kwakuwa fulani na fulani hawakucheza na kusahau kuwa wachezaji wote wamesajiliwa na wanalipwa na Simba ili kuichezea Simba. Ni Simba
 
Mimba haijatoka tu.Tema mate.Simba imekuulia mama yako nini?Upo soo obsessed.
 
actually simba ni mali ya wananchi/wanachama na wasio wanachama. Uhovyo na ubabaishaji wowote kwenye simba is not only hurting you and your family but also the entire nation including the state house. The national security is depending on the tranquility state in Simba and Yanga. stop your nonsense.
 
Peleka uharo huko.Simba ni mali ya wenye hisa za Simba.Peleka hicho kiherehere chako huku hulipi chochote udai ohh eti ni mali ya wote.Kapimwe akili wewe it seems the lights are on but nobody is home.Nenda hata ujaribu kupiga kura bila ya kadi na unachama mfu uone kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom