Chama na Morrison wana mgogoro na Pablo....?!

Chama na Morrison wana mgogoro na Pablo....?!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Chama nimemuona hapa maeneo ya Bridge Ndola anaendesha gari na kweli hata kwenye kikosi hayumo!

Morrison naye pia hayupo?!

Pablo anaihujumu Simba?!

Nb;

Simba ya makaratasi uwanjani leo.
 
Chama & morrison out

Onyango & Hussein bench.
Huenda ruvu haitishi, ngoja mpapaswe mtingishwe na kukung'utwa na mr. Bwire
 
Kamgogoro kanafurukuta
he wewe unaishi wapi kishanuka tayari ..MO leo kajiuzulu kabisa anasema familia yake imekasirika hasara anayopata ..yani mambo ni bamabam watakoma na chama yuko zambia mda mrefu sana alipigana na pablo morrison akmsaidia kumpa vitasa kocha wakati wa half time mechi na sisi
 
Viongozi wamesema hao jamaa wana injuries.
 
Chama nimemuona hapa maeneo ya Bridge Ndola anaendesha gari na kweli hata kwenye kikosi hayumo!

Morrison naye pia hayupo?!

Pablo anaihujumu Simba?!

Nb;

Simba ya makaratasi uwanjani leo.
Sio kweli, Chama yupo Congo DR anafuatilia me hi ya Berkane na Mazembe. Akitoka huko moja moja anamfuata Manara aliyekuwa anamlamba miguu. GSM kauza malalio ya kutosha kumlipa Chama.

Hata Morisson kafuata familia yake Ghana kwani keshapewa malalio ya kutosha atafikia kwenye vile vyumba pale mitaa ya Twiga na Jangwani.
 
wewe uko sahihi asilimia mia moja
 
Back
Top Bottom