Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
he wewe unaishi wapi kishanuka tayari ..MO leo kajiuzulu kabisa anasema familia yake imekasirika hasara anayopata ..yani mambo ni bamabam watakoma na chama yuko zambia mda mrefu sana alipigana na pablo morrison akmsaidia kumpa vitasa kocha wakati wa half time mechi na sisiKamgogoro kanafurukuta
Utopolo kazini.he wewe unaishi wapi kishanuka tayari ..MO leo kajiuzulu kabisa anasema familia yake imekasirika hasara anayopata ..yani mambo ni bamabam watakoma na chama yuko zambia mda mrefu sana alipigana na pablo morrison akmsaidia kumpa vitasa kocha wakati wa half time mechi na sisi
uongo walimpiga pablo manumi ya kutosha, wote wanaenda yanga tajiri la ukweli Gsm lishaweka billion moja mezani kuwanasaViongozi wamesema hao jamaa wana injuries.
Sio kweli, Chama yupo Congo DR anafuatilia me hi ya Berkane na Mazembe. Akitoka huko moja moja anamfuata Manara aliyekuwa anamlamba miguu. GSM kauza malalio ya kutosha kumlipa Chama.Chama nimemuona hapa maeneo ya Bridge Ndola anaendesha gari na kweli hata kwenye kikosi hayumo!
Morrison naye pia hayupo?!
Pablo anaihujumu Simba?!
Nb;
Simba ya makaratasi uwanjani leo.
wewe uko sahihi asilimia mia mojaSio kweli, Chama yupo Congo DR anafuatilia me hi ya Berkane na Mazembe. Akitoka huko moja moja anamfuata Manara aliyekuwa anamlamba miguu. GSM kauza malalio ya kutosha kumlipa Chama.
Hata Morisson kafuata familia yake Ghana kwani keshapewa malalio ya kutosha atafikia kwenye vile vyumba pale mitaa ya Twiga na Jangwani.