Unajisikiaje pale unapokuwa shabiki wa Yanga hlf unaiandikia Simba kwamba ifanye jambo fulani, huwa hauoni aibu?.Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithiri treni ya SGR.
Onyango ataendelea kutu-cost kwenye mechi kubwa siku zote mpaka pale atakapo fariki.
Yes tunampenda Chama ila tukubali ukweli kuwa dogo hamfikii mchezaji kiungo wa Utopolo (Aziz Ki). Aziz anafunga bao la kuwapeleka Uto robo, huku Chama anakosa penati.
Tutafute namba 10 mwingine, ikiwezekana tumvute Feisal Salum.
Hata hivyo, licha ya kukosa penati jamaa ni mzito sana, hata ukimbiaji wake wakati wa kaunta ataki ni kama ana majipu kwapani.
Boss MO avunje benki msimu ujao aondoe hawa.
Ndio wale wanachezaga hivi ?Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi
Uboya wao ndo umewafanya wasiwakabe,mchezaji lazima uwe mjanja+uongo na udambwi udambwi mwengine uwe nao.Sina deni Simba wamepambana kiasi Fulani ref.. amechangia kupoteza wachezaji hadi Muda Fulani wakifika kwenye 18 wanaogopa kumkaba mpinzani.
Atakuja kuongea nini Bongo,wao walishangilia kupangwa na Wydad bingwa mtetezi.Atakae cheka mwisho ndie atacheka sana.Semaji la CAF amesema anabakia Morocco!
Baba Easter hayupo hapoNdio wale wanachezaga hivi ?View attachment 2603196
Kwakweli simba inapaswa tufanye usajili wa maana bora twende congo hapo kuna wachezaji wazuri sana..na bei nzuri tu.Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithili treni ya SGR.