demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithili treni ya SGR.
Onyango ataendelea kutu-cost kwenye mechi kubwa siku zote mpaka pale atakapo fariki.
Yes tunampenda Chama ila tukubali ukweli kuwa dogo hamfikii mchezaji kiungo wa Utopolo (Aziz Ki). Aziz anafunga bao la kuwapeleka Uto robo, huku Chama anakosa penati.
Tutafute namba 10 mwingine, ikiwezekana tumvute Feisal Salum.
Hata hivyo, licha ya kukosa penati jamaa ni mzito sana, hata ukimbiaji wake wakati wa kaunta ataki ni kama ana majipu kwapani.
Boss MO avunje benki msimu ujao aondoe hawa.