Sonimbusilo
Member
- Aug 12, 2024
- 12
- 47
Gamondi, Hersi, piteni na hii:-
Max Mpia Zengeli Ni mchezaji mzuri sana ila ana mapepe, sio mtulivu, ana papara anataka kufunga muda woote kumbe kazi yake ni kutoa pasi zenye macho, unashangaa mechi inaisha Max Mpia Zengeli Hana Assist Hata moja.
Chama triple C Mwamba wa Lusaka Ni mtulivu sana, pasi zake zina macho, Chama ana madhara makubwa uwanjani kuliko Max, Chama atakupa kitu uwanjani, Chama mpira ukiisha lazima utaona Assist, kosa kosa nk.
Hence Chama ni bora kuliko Zengeli