Chama ni bora kuliko Nzengeli ndani ya uwanja

Chama ni bora kuliko Nzengeli ndani ya uwanja

Gamondi akikuskia atakupiga vibao we jamaa, watafanyiwa rotation Aziz k,chama na pacome ila maxi kwa game kubwa ni guarantee starter, maxi msimu uliopita kacheza mechi zote za ligi kasoro Moja tu

Maxi mechi kubwa Kila mahali yupo, maxi anakaba sana anasababisha balance kwa timu kiujumla, tupo hapa, hakuna wa kumueka maxi benchi yanga
 
Wote ni wachezaji wazuri sana kwa haiba ya kila mtu nzengeli anakupa vingi akiwa na mpira na asipokuwa na mpira same chama

Hapa tunaangalia timu na si mtu mmoja
 
Max ni bora kuliko Chama ni injini ya timu ila kila kizuri hakikosi kasoro, Max anaikosesha Yanga magoli mengi kwa kulazimisha kutaka kufunga kila awapo kwenye box hata pale wenzake wanapokuwa kwenye position nzuri zaidi yake ,

Max anatakiwa kuambiwa ukweli kuwa yeye ni mbinafsi anaigharimu timu na kuwa hata assist inampa mchezaji credit kubwa!!
 
Chama kwenye mechi nyepesi ni la pulga kabisa
 
Kuna mmoja anakupa Kila kitu uwanjani anafunga, anakaba, anatoa pasi, ana mapafu ya mbwa hachoki haraka.

Kuna mwingine Hana Kasi, Hana pumzi, Yuko special Kwa mambo fulani tu.
 
Ndio shida ya mashabiki maandazi wasiojua mpira, Zengeli anafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja halafu mnampima Chama dhidi ya timu dhaifu ya Vital 'O'
Kwani kwenye hiyo hiyo timu dhaifu nzengeli alifanya nini?
 
Wewe utakuwa unamzungumzia max wa tandahimba. Huyu max ambaye mpaka kutambua anacheza namba ngapi uwanjani ni shidah ndo umuliganishe na chama anaye kaa amesimama ili aletewe mipira
Wajaaa mna nn lakinii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom