Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamba kasema hiviiii!
CHAMA NI CHETU, SERIKALI NI YETU, BUNGE LETU, NA SPIKA NI WETU.
Bandugu, huyu mzee ana-akili timamu?
The problem is that God gave men a brain and a penis, and only enough blood to run one at a time.
Makamba kasema hiviiii!
CHAMA NI CHETU, SERIKALI NI YETU, BUNGE LETU, NA SPIKA NI WETU.
Bandugu, huyu mzee ana-akili timamu?
Ukisikia mawazo ya Kidikteta ndio haya!... Inasikitisha sana kuona upeo mdogo wa viongozi wetu ktk maswala nyeti kama haya..CHAMA NI CHETU, SERIKALI NI YETU, BUNGE LETU, NA SPIKA NI WETU.
Ukisikia mawazo ya Kidikteta ndio haya!... Inasikitisha sana kuona upeo mdogo wa viongozi wetu ktk maswala nyeti kama haya..
vyote vya kwao lakini nchi ni yetu. jamani tuikomboe nchi yetu mwakani 2010 chonde chonde, tuwaache wabaki na vyao.
Spika ni mwanachama wa ccm ambacho ndicho kimeshika dola ama serikali kwa maana hiyo sehemu pekee ya kudhibiti nidhamu ya wanachama ni ni kwenye chama kwenyewe.
Kama mtu anataka Hasizibitiwe awe mgombea binafsi
Chama ni chao, na serikali ni yao, lakini bunge si lao. Na spika si wao. Makamba hajui maana ya demokrasia na usimamiaji wake. Amezoea ubabe ubabe tu. Ndo mananga waliopo CCM hawa.
Makamba kasema hiviiii!
CHAMA NI CHETU, SERIKALI NI YETU, BUNGE LETU, NA SPIKA NI WETU.
Bandugu, huyu mzee ana-akili timamu?
Salute.
na unapokuwa una-ongozwa na viongozi wa aina hii at least ndani ya chama, tukuite una akili timamu au?