Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa.

Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na legelege
 
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Huyo kisindo kichorichori anafaida gani na hizo nduuuki zake? Nahuyo malomo wako anaasist ngapi?
 
Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa.

Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na legelege
Ulikuwa unatafuta tujibu uziii wako, haya tumereply uneridhikaaaa😂😂😂😂😂😂
 
Si tu Hana Kasi ila kwenye soka la kisasa linahitaji nguvu na uwezo wa kuhimili migongano ndio maana kule Kwa waarabu wanao cheza Kwa Kasi ameshindwa.
Ata kwenye Mechi za Yanga na Simba anaonekana baadhi ya nyakati mda mwingi anawekwa sandukuni kwakua wanaujua staili yake ya uchezaji.
 
Anakimbia hovyo huwezi jua huwa anaona nini uwanjani maana nasikia jezi zao ni nzito
 
Mimi ninachofahamu baadhi ya mashabiki wa simba walimbatiza huyu mchezaji wao Clotus Chama jina la kiungo konokono, pale tu aliposajiliwa kwa mara ya pili kutoka Berkane.

Na hii ilitokana na uchezaji wake wa taratibu katika nafasi ya kiungo, kiasi cha kupelekewa moto wakati wa mechi; na viungo wanyumbulifu kama Fei Toto, nk.
 
Si tu Hana Kasi ila kwenye soka la kisasa linahitaji nguvu na uwezo wa kuhimili migongano .... Ata kwenye Mechi za Yanga na Simba anaonekana baadhi ya nyakati mda mwingi anawekwa sandukuni kwakua wanaujua staili yake ya uchezaji.

Hapa chini Chama akiwekwa sandukuni katika kuhimili migongano kwenye mechi ya Simba na Yanga. Chama anadondoka chini na kulamba nyasi:

Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa.

Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na legelege
Chama cha Maslomosheni
 
Si tu Hana Kasi ila kwenye soka la kisasa linahitaji nguvu na uwezo wa kuhimili migongano ndio maana kule Kwa waarabu wanao cheza Kwa Kasi ameshindwa.
Ata kwenye Mechi za Yanga na Simba anaonekana baadhi ya nyakati mda mwingi anawekwa sandukuni kwakua wanaujua staili yake ya uchezaji.
Kwahiyo tusila kisinda mwenye kasi sasa hivi yupo al ahly????

Utopolo wenye akili ni wawili hahahaha uwongooooooo huo wote hawana akili timamu.....
 
Naombeni kujua feisal kiasilia ni namba 10 au 8_?
 
Back
Top Bottom