inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Chama Yuko slow,si mkabaji..ndizo sababu Morocco pakamshinda,ligi yetu Ina muda mrefu wa kukaa na mpira,ndomana anaonekana wa maana,ligi substandardKukimbia ni sifa ya mwizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama Yuko slow,si mkabaji..ndizo sababu Morocco pakamshinda,ligi yetu Ina muda mrefu wa kukaa na mpira,ndomana anaonekana wa maana,ligi substandardKukimbia ni sifa ya mwizi
Chama Morocco palimshinda kbsKwahiyo tusila kisinda mwenye kasi sasa hivi yupo al ahly????
Utopolo wenye akili ni wawili hahahaha uwongooooooo huo wote hawana akili timamu.....
Wakabaji wapo mwananyamala kwa mama zakariaChama Yuko slow,si mkabaji..ndizo sababu Morocco pakamshinda,ligi yetu Ina muda mrefu wa kukaa na mpira,ndomana anaonekana wa maana,ligi substandard
Kisinda alipaweza kwa mbio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkiambiwa nyinyi ni mazezeta mnabishaChama Morocco palimshinda kbs
Hapa huoni wewe ndiye zezeta!?..mi nimemzungumzia chama na ndiye nada,wewe unamuingiza kisinda!!!...walau kisinda alikua akicheza Hadi kupata medali ya ubingwa shirikisho,chama mambo yalishondikana kabisaKisinda alipaweza kwa mbio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkiambiwa nyinyi ni mazezeta mnabisha
kwa nini chama alikimbia kule berkaneChama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa.
Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na legelege
Umenikumbusha jamaa alikuwa anaitwa Alhaji Fafiga. Alikuwa na mbio sana timu ya taifa Senegal ila walipoenda kushiriki kombe la dunia 2002 akaiba cheni dukani.Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa.
Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na legelege
Chama hawezi kimbia. Hana mbio.kwa nini chama alikimbia kule berkane
Wewe n zezeta na utopolo wenzio....nani kakwambia sifa ya uchezaji bora ni mbio? Kama uingekuwa mbio ndio sifa ya uchezaji bora basi kisinda na moloco wangekuwa EPL au LALIGA muda huu, na Adama Traore angekuwa ni mchezaji bora duniani .....UTOPOLO HAMNA AKILIHapa huoni wewe ndiye zezeta!?..mi nimemzungumzia chama na ndiye nada,wewe unamuingiza kisinda!!!...walau kisinda alikua akicheza Hadi kupata medali ya ubingwa shirikisho,chama mambo yalishondikana kabisa
Ahahahahah! Sichangii chochote! Yako inatosha! Ahahahahah!Kukimbia ni sifa ya mwizi
Mazezeta siye tunawaphila tu kila siku,kasi sikumaanisha mbio tu ewe kolo usiyejua mpiraWewe n zezeta na utopolo wenzio....nani kakwambia sifa ya uchezaji bora ni mbio? Kama uingekuwa mbio ndio sifa ya uchezaji bora basi kisinda na moloco wangekuwa EPL au LALIGA muda huu, na Adama Traore angekuwa ni mchezaji bora duniani .....UTOPOLO HAMNA AKILI