Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
MzahaMzaha au sio mzaha ??
Ulikuwa unatafuta tujibu uziii wako, haya tumereply uneridhikaaaa😂😂😂😂😂😂Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa.
Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na legelege
Nimecheka sanaaKukimbia ni sifa ya mwizi
Si tu Hana Kasi ila kwenye soka la kisasa linahitaji nguvu na uwezo wa kuhimili migongano .... Ata kwenye Mechi za Yanga na Simba anaonekana baadhi ya nyakati mda mwingi anawekwa sandukuni kwakua wanaujua staili yake ya uchezaji.
Chama cha MaslomosheniChama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa.
Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na legelege
Kwahiyo tusila kisinda mwenye kasi sasa hivi yupo al ahly????Si tu Hana Kasi ila kwenye soka la kisasa linahitaji nguvu na uwezo wa kuhimili migongano ndio maana kule Kwa waarabu wanao cheza Kwa Kasi ameshindwa.
Ata kwenye Mechi za Yanga na Simba anaonekana baadhi ya nyakati mda mwingi anawekwa sandukuni kwakua wanaujua staili yake ya uchezaji.