technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia
Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa.
Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana kabisa .
Halafu wanamuita kiungo Bora wa Tanzania kwa game za wakina Mbeya kwanza na Dodoma jiji.
Kwangu mm kiungo Bora kwa Sasa ligi kuu ya Tanzania ni Fei Toto.
Ukibisha bisha Ila ndio ukweli. Povu lukusa kutoka kwa mbumbumbu fc🤪