Chama ni mchezaji wa game ndogo

Chama ni mchezaji wa game ndogo

Huna hata unalojua..sasa chama na mechi ya orlando pirates wapi na wapi???
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia

Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa.

Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana kabisa .

Halafu wanamuita kiungo Bora wa Tanzania kwa game za wakina Mbeya kwanza na Dodoma jiji.

Kwangu mm kiungo Bora kwa Sasa ligi kuu ya Tanzania ni Fei Toto.

Ikibisha bisha Ila ndio ukweli. Povu lukusa kutoka kwa mbumbumbu fc[emoji2957]
 
Unadhan aliewaita utopolo alikosea????
1 chama aliyefunga bonge moja la goli kweny game na kaizer chief pale taifa

2 chama aliyewatesa FC platinum pale taifa kweny mech ya mtoano wa ligi ya mabigwa

3 chama.aliye wagalagaza mabeki wa as vital pale.kwa mkapa kweny game ya ligi
Ya mabigwa

4 chama aliyefunga bonge moja la goli kweny mech dhidi ya nkana pale taifa Simba akaenda kweny makundi ya ligi ya mabigwa

5 chama aliyefunga goli la ushindi kweny mechi na As vital pale taifa Simba akaenda kucheza robo fainali ya ligi ya mabigwa Kwa mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom