technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kweli naendelea kuamini kwamba yanga wote hamna Akili isipokuwa kikwete na baba yake manara hii Kwa mujibu wa Manara.Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia
Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa.
Refer Dabi za dsm au Simba vs To Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana kabisa .
Halafu wanamuita kiungo Bora wa Tanzania kwa game za wakina Mbeya kwanza na Dodoma jiji.
Kwangu mm kiungo Bora kwa Sasa ligi kuu ya Tanzania ni Fei Toto.
Ikibisha bisha Ila ndio ukweli.
Utopolo mtupu 😀Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia
Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa.
Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana kabisa .
Halafu wanamuita kiungo Bora wa Tanzania kwa game za wakina Mbeya kwanza na Dodoma jiji.
Kwangu mm kiungo Bora kwa Sasa ligi kuu ya Tanzania ni Fei Toto.
Ikibisha bisha Ila ndio ukweli.
Yanga mna ujinga mwingi sanaChama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia
Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa.
Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana kabisa .
Halafu wanamuita kiungo Bora wa Tanzania kwa game za wakina Mbeya kwanza na Dodoma jiji.
Kwangu mm kiungo Bora kwa Sasa ligi kuu ya Tanzania ni Fei Toto.
Ikibisha bisha Ila ndio ukweli.
Chama huyuhuyu alicheza game ya Orlando Pirates? Tena akapoteana kwenye hiyo game? Karia alikuwa sahihi kusema Yanga mna Kinyesi.Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia
Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa.
Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana kabisa .
Halafu wanamuita kiungo Bora wa Tanzania kwa game za wakina Mbeya kwanza na Dodoma jiji.
Kwangu mm kiungo Bora kwa Sasa ligi kuu ya Tanzania ni Fei Toto.
Ikibisha bisha Ila ndio ukweli.
Fact za nini wakati mleta maada sio mzee mnara Wala kikwete?1 chama aliyefunga bonge moja la goli kweny game na kaizer chief pale taifa
2 chama aliyewatesa FC platinum pale taifa kweny mech ya mtoano wa ligi ya mabigwa
3 chama.aliye wagalagaza mabeki wa as vital pale.kwa mkapa kweny game ya ligi
Ya mabigwa
4 chama aliyefunga bonge moja la goli kweny mech dhidi ya nkana pale taifa Simba akaenda kweny makundi ya ligi ya mabigwa
5 chama aliyefunga goli la ushindi kweny mechi na As vital pale taifa Simba akaenda kucheza robo fainali ya ligi ya mabigwa Kwa mara ya kwanza
Mkuu kwani wewe ndiye Bambo?
Kweli naendela kuamini kwamba mashabiki wa simba ni mambumbumbu kwa mujibu wa RageKweli naendelea kuamini kwamba yanga wote hamna Akili isipokuwa kikwete na baba yake manara hii Kwa mujibu wa Manara.