Chama ni mchezaji wa kuigwa mpaka na wachezaji wenzake

Joined
Jun 8, 2016
Posts
8
Reaction score
22
[emoji3091]CHUNGUZA HII PICHA VIZURI

[emoji818]Baleke Na Ntibazonkiza Wamejikuta Wakiacha Majukumu Yao, Ya Kutafuta Open Spaces ili Wapokee Pass Kutoka Kwa Cloutus Chota Chama "Big brain Player", Assist midifielder, Well Impossed Midifielder, Mwamba Wa Lusaka Zambia na Kuanza Kushangaa Miujiza Ya Miguu yake Uwanjani.

[emoji818]Ikumbukwe Saidi Ntibazonkiza Aliwahi Nukuliwa Akisema "Amefurahi Sana Kusajiliwa Simba Sc Na Ndoto Yake Ya Kucheza Na Chama Imetimia"

[emoji818]Kuna Asilimia Kubwa Chama Akawa Ndio Kipenzi Cha Mashabiki Wengi Kutoka Timu Mbali mbali Tanzania Na Afrika.

[emoji818]Wanasaikologia Wa Soka Wanasema, Ukishampenda Mchezaji Mwenzako Kwa Kile Anachokifanya Kuna Asilimia Kubwa Sana Ukawa Unafanya Mokosa Na Kuruhusu Timu Yako Isifanye Vizuri Kwa Kushughulikia Kumtazama Uwanjani Badala Ya Kufanya Majukumu Yako.

[emoji288]Chama "Triple C" Ndie Roll Model Wa Kila Midifielder. Ndie kipimo Cha Midifielder Wengi Wajao NBC-PL

Imeandaliwa na jonas
 
Chama ni mchezaji mzuri kwa Simba, ila kwenye Soka la kisasa hapati nafasi kwakua linahitaji kasi na nguvu hasa eneo la ushambuliaji.

Ndio maana kule kwa waarabu alishindwa au kwenye timu ya Taifa uwa ana anzia bench.

Ata kocha wa Simba anampa nafasi kwasababu hana jinsi.
Hakuna kocha wa kisasa akampenda mchezaji mwenye spidi ya konokono.
 
Cha ajabu,kuna timu humtumia kwa uongo ili kuwaaminisha mashabiki wao kuwa wanamsajili πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…