Chama ni mchezaji wa kuigwa mpaka na wachezaji wenzake

Usimfananishe Aziz na vitu vya kipuuzi, Chama ana kimbia utafikiri ana kanyaga moto wakati Aziz amehama kwenye kucheza mpira ila anauchezea mpira anafanya sanaa (Art).
Ilibidi watu wasubiri mpaka saa 9 usiku kumshuhudia kiumbe akitambulishwa.
Aziz kwa umri na uwezo alionao kucheza Tanzania ni bahati kwa yanga ila nibahati mbaya kwa mchezaji.
Aziz bado hajaonyesha uwezo wake ila ni swala la muda tu, kunasiku watu wata vamia uwanja kwenda ku mbeba juu juu na kushangilia pamoja nae.
Unamzungumzia Aziz K huyu anaetamani kucheza uchi uwanjani anaona zile nguo mzigo unampunguzia nguvu uwanjani, mule akili ndogo nyingi miguvu tu

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Usimfananishe Aziz na vitu vya kipuuzi, Chama ana kimbia utafikiri ana kanyaga moto wakati Aziz amehama kwenye kucheza mpira ila anauchezea mpira anafanya sanaa (Art).
Ilibidi watu wasubiri mpaka saa 9 usiku kumshuhudia kiumbe akitambulishwa.
Aziz kwa umri na uwezo alionao kucheza Tanzania ni bahati kwa yanga ila nibahati mbaya kwa mchezaji.
Aziz bado hajaonyesha uwezo wake ila ni swala la muda tu, kunasiku watu wata vamia uwanja kwenda ku mbeba juu juu na kushangilia pamoja nae.
We jamaa sio mzima kbs au huwa unaangalia mpira kwa kutumia makalio nn??
 
Maisha magumu ndio yamekufikisha huku unatukana watu at least upate relief
Aliyeanza kutukana ni mimi au wewe? Uliona ni sawa kuniaddress vile kule juu? Mjadala ulikuwa wa Kawaida kabisa, ghafla unaanza kumu-address mtu vinginevyo? Kufikia hapo ni nani ana stress za maisha magumu:mimi au wewe?
 
Naona akili zimerudi, niletee tusi nlililo kutukana
 
Back
Top Bottom