Chama ni mchezaji wa kuigwa mpaka na wachezaji wenzake

Naunga mkono hoja
 
Sio kweli kaka izo ni propaganda tu kama zile za yule jamaa mlie sema eti mmetupokonya airport
Tena propaganda anazianzisha mwenyewe Chama ili apate kumtingisha muhindi amuongezee mshahara, mwaka huu wametingisha wee muhindi kagoma wakaanza kumtolea povu wakisaidiana na dada CEO
 
Tena propaganda anazianzisha mwenyewe Chama ili apate kumtingisha muhindi amuongezee mshahara, mwaka huu wametingisha wee muhindi kagoma wakaanza kumtolea povu wakisaidiana na dada CEO
Ulivyoandika utadhani ulikuwa unakunywa nao madafu kijiweni.Uto vituko sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa Soka analo fundisha na kusisitiza Gamond haitaji mchezaji goigoi uwanjani, anataka mchaka mchaka kwa dk 90 sasa uyo chama utamchezesha namba ngapi?

Chama akitaka kuwajambisha waajili wake siku zote anatengeneza mazingira ionekane anahitajika na upande wa pili na jamaa ashajua awa ni ma mbumbumbu basi anapiga pesa tu.
 
Aziz k anatumia nguvu nyingi ila chama akili nyingi
Usimfananishe Aziz na vitu vya kipuuzi, Chama ana kimbia utafikiri ana kanyaga moto wakati Aziz amehama kwenye kucheza mpira ila anauchezea mpira anafanya sanaa (Art).
Ilibidi watu wasubiri mpaka saa 9 usiku kumshuhudia kiumbe akitambulishwa.
Aziz kwa umri na uwezo alionao kucheza Tanzania ni bahati kwa yanga ila nibahati mbaya kwa mchezaji.
Aziz bado hajaonyesha uwezo wake ila ni swala la muda tu, kunasiku watu wata vamia uwanja kwenda ku mbeba juu juu na kushangilia pamoja nae.
 
Aziz k huyuhuyu aliyekuwa anawekwa benchi na feitoto,acha masihara,zaidi ya mdomo hakuna alichomzidi chama
 
Ni wajinga wachache wanaweza kumsifia chama mbele ya Saido, chama huyu kinyonga sijawahi kuona akifanya vizuri mechi yoyote ya ngumu na timu yenye Kasi. Chama ni mchezaji wa mechi zisizo na presha.... Chama katoka Zambia kaja Tz, kaenda Morocco hata mechi 10 hakucheza..... Saido katoka League 1 kaja Tz kumalizia maisha yake ya mpira ila bado mpya.
 
Aziz k huyuhuyu aliyekuwa anawekwa benchi na feitoto,acha masihara,zaidi ya mdomo hakuna alichomzidi chama
Wachezaji wote wa Simba waliocheza dhidi ya Aziz wanafahamu namna jamaa alivyo wadhalilisha mechi ya Nyumbani na kule ugenini dhidi ya Asec.

Aishi manula hatakia ata kumuona akicheza dhidi yake.
Yupo tayari aji vunje lakini si kucheza dhidi ya Aziz.
Uyu Aziz akiweza kufikia kile kiwango chake alichokua nacho Asec akiwa apa Yanga, watu wote wataimba mapambio.
 
Mpira sio blah blah, mpira ni namba, ni mchezaji gani mwenye hiyo kasi aliyemzid takwimu zozote Chama? Anavyoongoza assists kila msimu hao weny kasi wanakuwa wapi? Amekuw MVP wenye kasi walikuwa wapi? Hivi huwa mnashabikia mpira wa wapi?na mnachambua mpira kivipi?

Wenye kasi si akina Kibu d, Kisinda, Nkane n.k haya hao wamefanya nin cha maana na kasi yao?
 
Izo asst zimeisaidia nini iyo timu, si kwenye ligi ya mabingwa wala ligi ya nyumbani.
Apa Nyumbani Simba walikua wanashika nafasi ya pili na vikombe vyote wamenyang'anywa.

Uko champion league inaishia robo.
Wakati Yanga inatembeza Bakuli ndio muda pekee Chama magoli na assist zake zilikua na maana ila Yanga walipo Adjust timu yao ikawa ya Ushindani timu yake inaburuzwa tu na Assist zake zinakosa maana.

Kwa sasa ndio asahau kabisa, assist zake zitaisaidia simba kushika nafasi ya pili.
 
Mkuu samahan nikuulize, wew ni mshabiki wa mpira au Yanga? Nisije nikapoteza energy bure.
 
Ndiyo huyu wakati ule amerudi kutoka Berkane mlikuwa mnamuita kiungo konokono!
 
Ameishachuja hakuna kitu hapo ni garasa hilo kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…