Chama rafiki CHADEMA mfukuzeni Malisa, ni pandikizi la Mbowe

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Stori ya kukamatwa na kuachiwa kwa kada wa CHADEMA inaacha maswali mengi sana. Kiufupi ni jambo linalonuka harufu kali ya usaliti. Pia kitendo cha Malisa kupokelewa na James Mbowe wa CHAUMMA hakiingii akilini kabisa. Tuliona Malisa kaongea na waandishi wa habari bila uwepo wa kada yoyote wa chama rafiki CHADEMA. Hii sio sawa.

CHADEMA kama chama rafiki tunawashauri fukuzeni huyu mtu kabla hamjachelewa sana. Malisa yuko CHAUMMA na CHADEMA kwa wakati mmoja. Kwanini asiende kujiunga na marafiki zake kina James na Yericko? Huyu ni ndumilakuwili. Hapaswi kuvumiliwa. Afurushwe.

Ninatumaini chama rafiki CHADEMA kitachukua ushauri wangu na kufanyia kazi. Soma pia;
 
Kafie mbele wewe ya chadema hayakuhusu
 
Kuna namna Malisa anaongea kama mbowe, lakini haifanyi Malisa kuwa msaliti.

Bila ushahidi wa viwango. Malisa ni mmoja ya mwanachama/kiongozi mzuri wa Chadema.

Mama Samia anandeleaje huko Presha yake imeshuka ??!
 
Stori ya kukamatwa na kuachiwa kwa kada wa CHADEMA inaacha maswali mengi sana. Kiufupi ni jambo linalonuka harufu kali ya usaliti. Pia kitendo cha Malisa kupokelewa na James Mbowe wa CHAUMMA hakiingii akilini kabisa. Tuliona Malisa kaongea na waandishi wa habari bila uwepo wa kada yoyote wa chama rafiki CHADEMA. Hii sio sawa.

CHADEMA kama chama rafiki tunawashauri fukuzeni huyu mtu kabla hamjachelewa sana. Malisa yuko CHAUMMA na CHADEMA kwa wakati mmoja. Kwanini asiende kujiunga na marafiki zake kina James na Yericko? Huyu ni ndumilakuwili. Hapaswi kuvumiliwa. Afurushwe.

Ninatumaini chama rafiki CHADEMA kitachukua ushauri wangu na kufanyia kazi. Soma pia;
Kwamba chadema isikilize ushauri wako.
 
Pandikizi la mbowe atasema mtu asiye na akili timamu. Mbowe ni mjumbe wa kamati kuu. Malisa ni nani?

Kwanini awe Pandikizi ili iweje?

Though chama hakipangii mtu marafiki.
 
Back
Top Bottom