MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kafie mbele wewe ya chadema hayakuhusuStori ya kukamatwa na kuachiwa kwa kada wa CHADEMA inaacha maswali mengi sana. Kiufupi ni jambo linalonuka harufu kali ya usaliti. Pia kitendo cha Malisa kupokelewa na James Mbowe wa CHAUMMA hakiingii akilini kabisa. Tuliona Malisa kaongea na waandishi wa habari bila uwepo wa kada yoyote wa chama rafiki CHADEMA. Hii sio sawa.
CHADEMA kama chama rafiki tunawashauri fukuzeni huyu mtu kabla hamjachelewa sana. Malisa yuko CHAUMMA na CHADEMA kwa wakati mmoja. Kwanini asiende kujiunga na marafiki zake kina James na Yericko? Huyu ni ndumilakuwili. Hapaswi kuvumiliwa. Afurushwe.
Ninatumaini chama rafiki CHADEMA kitachukua ushauri wangu na kufanyia kazi. Soma pia;
Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere. Kiukweli Mbowe kadhalilishwa sana kwa siku kadhaa. Ninampongeza kwa ukimya wake kuonyesha ukomavu wa kisiasa alio nao.
Kilichonishtua ni kuona mashambulizi mengi yakihusisha kabila zima la wachaga. Hili kabila limetukanwa matusi yote kwa sababu Mbowe ni mchaga. Kwa ufupi wachaga wote wameonekana hawafai ndani ya CHADEMA. Binafsi ninaona kama viongozi wa CHADEMA wameona wachaga hawafai ni bora...
- MamaSamia2025
- chadema chama kudhalilishwa kuendelea kufukuza kuvumilia mbowe ndani umuhimu umuhimu wa chadema wachaga wote
- Replies: 0
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kwamba chadema isikilize ushauri wako.Stori ya kukamatwa na kuachiwa kwa kada wa CHADEMA inaacha maswali mengi sana. Kiufupi ni jambo linalonuka harufu kali ya usaliti. Pia kitendo cha Malisa kupokelewa na James Mbowe wa CHAUMMA hakiingii akilini kabisa. Tuliona Malisa kaongea na waandishi wa habari bila uwepo wa kada yoyote wa chama rafiki CHADEMA. Hii sio sawa.
CHADEMA kama chama rafiki tunawashauri fukuzeni huyu mtu kabla hamjachelewa sana. Malisa yuko CHAUMMA na CHADEMA kwa wakati mmoja. Kwanini asiende kujiunga na marafiki zake kina James na Yericko? Huyu ni ndumilakuwili. Hapaswi kuvumiliwa. Afurushwe.
Ninatumaini chama rafiki CHADEMA kitachukua ushauri wangu na kufanyia kazi. Soma pia;
Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere. Kiukweli Mbowe kadhalilishwa sana kwa siku kadhaa. Ninampongeza kwa ukimya wake kuonyesha ukomavu wa kisiasa alio nao.
Kilichonishtua ni kuona mashambulizi mengi yakihusisha kabila zima la wachaga. Hili kabila limetukanwa matusi yote kwa sababu Mbowe ni mchaga. Kwa ufupi wachaga wote wameonekana hawafai ndani ya CHADEMA. Binafsi ninaona kama viongozi wa CHADEMA wameona wachaga hawafai ni bora...
- MamaSamia2025
- chadema chama kudhalilishwa kuendelea kufukuza kuvumilia mbowe ndani umuhimu umuhimu wa chadema wachaga wote
- Replies: 0
- Forum: Jukwaa la Siasa
π
CHADEMA ni chama rafiki na sikivu.Kwamba chadema isikilize ushauri wako.
Wachaga wafukuzwe CHADEMA.
CHADEMA hawana tabia za kibaguzi.Wachaga wafukuzwe CHADEMA.