Chama tawala chini ya Masisi chapoteza madaraka katika uchaguzi Botswana baada ya miaka 58

Ccm mbona haina baya kwa nini iondoke?
 
Ukanda wetu huu wa kusini mwa jangwa la sahara tumebakiwa na majizi ya kura kadhaa zikiwamo CCM,Frelimo na Swapo,hawa wapo tayari kufanya chochote ili wabaki madarakani na hivi sasa hawapo kwa ajili ya Wananchi wapo kwa maslahi yao binafsi.
Zimbabwe umesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…