Una kiwango cha chini mno cha uelewa, Marekani Serikali ndio inatengeneza ajira sembuse Tanzania? Hizi akili Mavi mnazitoga wapi?Endelea kuwanyeyekea wanasiasa, wana siasa wakuletee ajira? haohao wanasiasa ndo wanakaa bungeni kusema kiswahili kitumike kufundisha shuleni wakati watoto wao wanasoma nje ya nchi, ndo unawategemea? achana na mawazo ya nchi kuuzwa umeshasikia nchi gani imeuzwa? kama Mungu amekupa ajira, fanya kwa bidii kwa ajili ya kizazi chako, hata usipokuwepo watajua uliwapigania, Hao hao wanasiasa wanakuambia jiajirini wakat wao wanapigania hizo ajira hata kwa kuroga. Amka usingizini
Hao wanasiasa hawana msimamo kila kukicha kila mtu anapigania tumbo lake. Yesu mwenye alisema "enyi wanawake wa Yerusalem jililieni ninyi na watoto wenu"
Ulitaka vyama vya siasa vije vikushikie jembe vikakulimie ukiwa umekaa hapo nyumbani unaangalia tv ya baba yako.Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa chama tawala CCM na pia Vyama vya Upinzani, nimegundua hakuna chama kinachoweza kutuletea mabadiliko ya kweli. Matokeo yake akina Msigwa,Mwita Waitara,Prof Mkumbo, Mashinji, Gekul, Kitambi nk kuhama na kutafuta maslahi binafsi zaidi. Upande wa pili CCM inatafuta kila njia ya kutumia kodi za wananchi kwenye mambo yasiyo na maslahi ya wananchi zaidi ya kufuja raslimali za nchi na kujinufaisha wao wenyewe. je tufanye nini sasa iwapo upinzani ni tatizo na Chama Tawala tatizo. Tukimblie wapi.Nisaidieni kupata suluhisho na mwafaka.
Ni wajimga hao kama wewe, Unajua ni pesa kiasi gani zinapotea kwa ufisadi? usha ona wanasiasa wanatoa pesa hata za kukimbiza mwenge?Na ndio ujinga mkubwa, et utegemee wanasiasa.
Kuna kijiji nimekipenda huko Rukwa, wao kwenye shughuli za kujenga madarasa kwa ajili ya watoto wao, kila mwanakijiji anachangia tofali 200, na fedha taslimu, yaani wameamua kujipambania wenyewe, ukingoja mwanasiasa atapika mboyoyo tu