Chama Triple C awataka Yanga kuacha uzushi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mwanzo tuliona kama jambo la kupuuza kwa sababu lilizungumzwa na mashabiki. Ila kwa sababu mpaka viongozi wa Yanga wamejiingiza kwenye uzushi inabidi kuwajibu. Kuwajibu ili kuwaepusha kwenye migogoro na mashabiki wao mapema.

Ushauri wa bure ni Yanga kubadilika na kufanya mambo kisomi kama ilivyo Simba SC. Mashabiki wanakuwa oya oya na viongozi wanakuwa oya oya.

Your browser is not able to display this video.




 
Hapo kasema mkataba wake ukiisha na Simba ila hajasema mkataba wake na Simba unaisha lini? Hapa ndo shida ilipo naona still ajafunga mjadala Bali atazidi kuchochea tetesi zake za usajili na Yanga.
 
hii taarifa sio sahihi , mwezi wa nane mwaka jana aliongeza miaka miwili , hata kuitumia bado hajaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Yanga wanajifariji tuuu mnaowajibu ndio mnawapa kichwa wapotezeeeni mazima. Istoshe kwa Viungo waliopo Simba hata akiondoka Chama siioni shida. Simba nguvu Moja Daima.
 
Hao Yanga wanajifariji tuuu mnaowajibu ndio mnawapa kichwa wapotezeeeni mazima. Istoshe kwa Viungo waliopo Simba hata akiondoka Chama siioni shida. Simba nguvu Moja Daima
Kumbuka wana GSM msiwazarau na wamerudi kwa kishindo Yanga.
 
Yanga hawajijui Dilunga kawaambia heri arudi mtibwa kuliko yanga wachezaji hawajalipwa mishahara wa Machi viongozi wanasingizia wanasubiri ripoti ya kocha vitu ambavyo havihusiani.
 
Yanga hawajijui Dilunga kawaambia heri arudi mtibwa kuliko yanga wachezaji hawajalipwa mishahara wa Machi viongozi wanasingizia wanasubiri ripoti ya kocha vitu ambavyo havihusiani
Dilunga Yanga hapati namba atacheza wapi.
 
Yanga hawajijui Dilunga kawaambia heri arudi mtibwa kuliko yanga wachezaji hawajalipwa mishahara wa Machi viongozi wanasingizia wanasubiri ripoti ya kocha vitu ambavyo havihusiani
Sasa Dilunga nae mtu? Yule hata Yanga ya sasa hapati namba! Anatafuta kiki mumpe mkataba mpya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajibu alikuwa nyota yanga kaja Simba benchi, nyonzima tulimwacha Sasa hivi ndiyo nyota kwenu Kama Dilunga anamweka Ajibu benchi ndiyo akose namba yanga
Niyonzima zengwe kwanza anawadai mpaka leo..taja Dilunga atamuweka nani benchi. Mchezaji wa mechi ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…