kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Hakuna kitu kama hicho komaeni mshinde kweli kama ninyi siyo mbumbumbu!Kashaingiza club matatizoni huyu, simba wakikomaa lazima yanga iwakate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hicho komaeni mshinde kweli kama ninyi siyo mbumbumbu!Kashaingiza club matatizoni huyu, simba wakikomaa lazima yanga iwakate
We bwege unahisi kila mtu asipokuwa yanga basi ni simba? Sina timu tz mimi, siwezi shangilia timu zisizoeleweka mimiHakuna kitu kama hicho komaeni mshinde kweli kama ninyi siyo mbumbumbu!
Unafanyaje hapa kwenye mazungumzo yanayohusu timu zisizoeleka? Wewe unaeleweka kwanza?We bwege unahisi kila mtu asipokuwa yanga basi ni simba? Sina timu tz mimi, siwezi shangilia timu zisizoeleweka mimi
Hey u maza fanta stay away from me!Unafanyaje hapa kwenye mazungumzo yanayohusu timu zisizoeleka? Wewe unaeleweka kwanza?
Unavyoandika tu nakufanyia tathimini aisee, uko vizuri sana. Haya natemana naweHey u maza fanta stay away from me!
hehe, bonus ya kumfunga Simba tu ilikuwa dola laki moja (almost)Sijaongelea chama mkataba wake unathamani gani nnacho sema Msemaji wa yanga kaweka wazi GSM watatoa dollar laki moja kwa miezi sita wakiwa kwenye transition mchakato .
Ha ha ha ha ha kwenye ranking za CAF mpo hata kwenye 200 bora!?[emoji23] [emoji23]Yanga siku zote wanataka kutembea juu ya nyota ya simba ndio maana waliwaalika as vita wakawatolea nje wamemsifia morison wakijua wazi simba kuna mafundi wengi wa kuchezea mpira watabaki kula kwa macho ila si chama wala deo kanda atakayeenda timu ambayo kwenye ranking za caf haipo hata 20 bora
Chama sio yule aliyemkimbia Fei Toto au ni mwingine?Shadeeya yanga wenzangu tusidanganyane kama na sisi tunataka tuwe na CHAMA basi twendeni .tukajiunge chama tawala
Morrison mtamuota hadi lini?Yanga siku zote wanataka kutembea juu ya nyota ya simba ndio maana waliwaalika as vita wakawatolea nje wamemsifia morison wakijua wazi simba kuna mafundi wengi wa kuchezea mpira watabaki kula kwa macho ila si chama wala deo kanda atakayeenda timu ambayo kwenye ranking za caf haipo hata 20 bora
Nikuondowe wasiwasi baada ya simba kufungwa na yanga wachezaji wamepewa laki mbili na uthibitisho wametoa kina makame na wengine walionyimwa mgao ,usiongee bonasi wakati hailipwi fuatilia team yako mwezi wa ngapi mishahara hawajalipwa urudi tenahehe, bonus ya kumfunga Simba tu ilikuwa dola laki moja (almost)
Point is, Simba mnadanganywa sana. Kuna propaganda machine kubwa ili muamini ukubwa wa Simba ni level za Mazembe.
Mmeshaamini uwongo mpaka mnaanza kusahau kuwa kazi bado sana. Huyo Senzo ni CEO wa Simba Sports Club au Simba SC Compay ltd?
Jibu hilo kwanza.
Milioni mia mbili zilitolewa na mishahara inalipwa. Umeamua tu kujidanganya.Nikuondowe wasiwasi baada ya simba kufungwa na yanga wachezaji wamepewa laki mbili na uthibitisho wametoa kina makame na wengine walionyimwa mgao ,usiongee bonasi wakati hailipwi fuatilia team yako mwezi wa ngapi mishahara hawajalipwa urudi tena
Mbona unajificha kwenye mchicha unadhani hautoonekana? Hakuna kiongozi wa yanga anajibu swali la m 200 wote wanakimbia ,mishahara team haiwezi kulipa ikatoe m200 ?,ulimwengu wa sasa hakuna la kuficha tunaishi na wachezaji wa yanga wengine kutulipa kodi tu mtihani ,fanyeni mpango kuendelea kuichangia team,ukiondoa wachezaji wachache wanaolipwa na watu binafsi wachezaji wengi hali zao ni ngumu wanalalamika kwenye magroup ya whatapp kila kukicha ?Milioni mia mbili zilitolewa na mishahara inalipwa. Umeamua tu kujidanganya.
Ndio maana nikakwambia, umeamua kujidanganya.Mbona unajificha kwenye mchicha unadhani hautoonekana? Hakuna kiongozi wa yanga anajibu swali la m 200 wote wanakimbia ,mishahara team haiwezi kulipa ikatoe m200 ?,ulimwengu wa sasa hakuna la kuficha tunaishi na wachezaji wa yanga wengine kutulipa kodi tu mtihani ,fanyeni mpango kuendelea kuichangia team,ukiondoa wachezaji wachache wanaolipwa na watu binafsi wachezaji wengi hali zao ni ngumu wanalalamika kwenye magroup ya whatapp kila kukicha ?
Nenda sheria ,kisha bunju complex angalia utofauti wa wachezaji wanavyoingia kufanya mazoezi utagundua utopoloni kuna wengine wanaingia wamebeba viatu mkononi,wengine bodaboda wachache wamebebana kwenye gari wanne,kisha upande wa pili utaona wanaingia na ndinga zao hakuna kubebana tofauti inaanzia hapa,hata afya zao na nyuso zao zinatofautiana ,maisha lazima yawe tofauti,jiulize vijana hawana namba benchi tu wanang'ang'ania unyamani ,utajua tu kutofautisha kati ya X na kuzidishaNdio maana nikakwambia, umeamua kujidanganya.
Akina nani walio benchi na wanang'ang'ania huko!?Nenda sheria ,kisha bunju complex angalia utofauti wa wachezaji wanavyoingia kufanya mazoezi utagundua utopoloni kuna wengine wanaingia wamebeba viatu mkononi,wengine bodaboda wachache wamebebana kwenye gari wanne,kisha upande wa pili utaona wanaingia na ndinga zao hakuna kubebana tofauti inaanzia hapa,hata afya zao na nyuso zao zinatofautiana ,maisha lazima yawe tofauti,jiulize vijana hawana namba benchi tu wanang'ang'ania unyamani ,utajua tu kutofautisha kati ya X na kuzidisha
Wewe kweli unachekesha. Mchezaji gani Bunju ana gari la maana? Halafu, kuzungumzia maisha ya watu naona kama mambo fulani ya kupoteza muda.Nenda sheria ,kisha bunju complex angalia utofauti wa wachezaji wanavyoingia kufanya mazoezi utagundua utopoloni kuna wengine wanaingia wamebeba viatu mkononi,wengine bodaboda wachache wamebebana kwenye gari wanne,kisha upande wa pili utaona wanaingia na ndinga zao hakuna kubebana tofauti inaanzia hapa,hata afya zao na nyuso zao zinatofautiana ,maisha lazima yawe tofauti,jiulize vijana hawana namba benchi tu wanang'ang'ania unyamani ,utajua tu kutofautisha kati ya X na kuzidisha
Ntakupa somo utaelewa nenda bunju complx kajionee kwa nini usimuliwe alafu jifunze hili litakusaidia"unachokula ndio kina amua afya yako itakavyokuwa " hao wachezaji ndio wanaonyesha hali halisi ya club kwa sasa haiwezi linganisha azam/simba na yanga ,yanga wakianza kufanya vitu vya kueleweka wachezaji njaa na malalamiko yatakwisha vitabaki vitu vya kawaidaWewe kweli unachekesha. Mchezaji gani Bunju ana gari la maana? Halafu, kuzungumzia maisha ya watu naona kama mambo fulani ya kupoteza muda.