Rocco sifredi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 100
- 197
Mpira siku zote ni mchezo wa wazi tulishasema toka siku nyingi kipindi simba iko kwenye peak ilijengwa kumzunguka chama chama ndo alikua anaamua Simba icheze vipi alipoondoka ndo anguko la simba lilianzia pale
Chama ni mmoja kati ya wachezaji ambao wanafanya kwa usahihi na ufasaha majukumu yao asilimia 85 ya ushindi wa simba Leo umechorwa na chama halafu kuna mtu yuko busy anaona saidoo ni bora kuliko mwamba wa Lusaka
All in all timu imejitahidi japo kuna namna bado hatuchezi kitimu ni wakati muafaka sasa Luis na chasambi wawe wanaanza saidoo piga benchi playmaker CCC
NB:AISEE CHAMA NI MCHEZAJI WA DARAJA LA JUU SANA CHAMA NI GENIOUS WA MPIRA KUWAHI KUTOKEA MSIMBAZI PALE