Chama usilete mambo ya Kiduanzi Yanga. Unataka kuleta madeko utaozea bench

Chama usilete mambo ya Kiduanzi Yanga. Unataka kuleta madeko utaozea bench

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Huyu dogo alidhani huku Yanga sisi tutampet pet. Ameona hana attention na Simba hawana issue naye sasa anaanza kutafuta sababu za kurudi Simba. Namwona jinsi ambavyo sasa anajitenga na wenzie. Na ame delete picha nyingi instagram akiwa na Yanga.

Huyu nadhani kinamuanza. Kama hajui ndo atajua kuwa hajui.....oooooh hoooooh.... Hatufagilii mtu sisi haina chanapa hii. Utakuwa ndo mwisho yeye kuwakilisha. Nina wasiwahi huyu alitumwa jambo flani Yanga.
Screenshot_2025-02-22-23-11-03-151_com.instagram.android~2.jpg
 
Sidhani kama hilo ni tatizo, kufuta picha ni maamuzi ya mtu binafsi usimpangie.
Pili chama hata akiondka Yanga still atapata timu, plus ni mtu ambae yuko smart kupush biashara yake nje ya mpira .

Fact Chama amekua akipigwa sana benchi, hivyo akiamua kuondoka Yanga kwangu hana deni, Ni mchezaji makini.
 
Mi sipendi Chama anavyopigwa benchi yanga,sijui motives ya hii ishu ila sidhan kama kiwango kimeshuka
 
Sasa kama mkataba alisain ataendelea kubaki kama mtafuzu CL...sasa ataendelea kusailia hapo kucheza rege au ndondo?
 
Infringement of privacy is a crime offense, akaunti ya chama haichezi mpira.

Hivyo ana uhuru wa kuitumia atakavyo, as long as haaribu taswira ya muajiri wake
 
Sajiri zote za wachezaji toka 5imba ilikuwa na ya mihemko ona mpaka tumeferi hata kuingia robo fainari CAF
 
Kiungo konokono
Yaani unawekwa benchi na mtu akiyetoka honeymoon akipeleka moto usiku kucha kwa lishangazi
 
Walidhani watatukomoa kumbe wanajikomoa wenyewe, hilo garasa hatulitaki libakie huko huko kwa magarasa wenzie shubahamiti zake.
 
Huyu dogo alidhani huku Yanga sisi tutampet pet. Ameona hana attention na Simba hawana issue naye sasa anaanza kutafuta sababu za kurudi Simba. Namwona jinsi ambavyo sasa anajitenga na wenzie. Na ame delete picha nyingi instagram akiwa na Yanga.

Huyu nadhani kinamuanza. Kama hajui ndo atajua kuwa hajui.....oooooh hoooooh.... Hatufagilii mtu sisi haina chanapa hii. Utakuwa ndo mwisho yeye kuwakilisha. Nina wasiwahi huyu alitumwa jambo flani Yanga.
View attachment 3245777
Utopolo wenye akili ni wawili tu, kikwete na baba yake msukule basi, tuliwambia msifurahi sana nyie kwetu ni watoto wadogo tunawamudu kwenye mambo mengi mno mkakaza mafuvu ona sasa.
 
Back
Top Bottom