Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hakuna mwanasimba atampenda Chama kwa sasa,watampenda kama mchezaji yule yoyote lakini siyo kurudi Simba.Bado hamjasema...Chama atarudi SIMBA na atapokelewa kwa mikono miwili....UNABISHA??.,endelea kubisha.......nipo paleeee navuta ganja
Toka hapaBado hamjasema...Chama atarudi SIMBA na atapokelewa kwa mikono miwili....UNABISHA??.,endelea kubisha.......nipo paleeee navuta ganja
Utopolo wenye akili ni wawili tu, kikwete na baba yake msukule basi, tuliwambia msifurahi sana nyie kwetu ni watoto wadogo tunawamudu kwenye mambo mengi mno mkakaza mafuvu ona sasa.Huyu dogo alidhani huku Yanga sisi tutampet pet. Ameona hana attention na Simba hawana issue naye sasa anaanza kutafuta sababu za kurudi Simba. Namwona jinsi ambavyo sasa anajitenga na wenzie. Na ame delete picha nyingi instagram akiwa na Yanga.
Huyu nadhani kinamuanza. Kama hajui ndo atajua kuwa hajui.....oooooh hoooooh.... Hatufagilii mtu sisi haina chanapa hii. Utakuwa ndo mwisho yeye kuwakilisha. Nina wasiwahi huyu alitumwa jambo flani Yanga.
View attachment 3245777
Bingwa Bia...Arudi tu, kikubwa YANGA BINGWA