Chamazi itakuwa ya kisasa

Chamazi itakuwa ya kisasa

Azam onyesha njia. Sisi neutral tutakuwa Mashabiki.
 
Fifa hawaruhusu mechi zao za kimashindano kuchezewa kwenye viwanja vyenye nyasi bandia
Kama Azam watabadili hiyo pitch kuwa kama unavyosema basi huu uwanja utapitishwa na FiFA,kubadili hiyo pitch kuwa na nyasi halisi ni rahisi zaidi ya kufunga mabango na taa za kisasa kwenye huo uwanja.
 
naona huko kuna viwanja chini hata ya miliion
 
Hii timu ikihamisha magoli na target ikawa ni Africa na siyo Tanzania itakua ni bonge la step.
 
Hapa Simba tuna moja au mawili ya kuchukua, ila na nyie Azam mjitahidi uwanjani muwapite hata utopolo basi.

Yanga kukaa juu yenu ni dharau, inafanya mpira wa Tanzania uonekane hauna thamani.
 
Hapa Simba tuna moja au mawili ya kuchukua, ila na nyie Azam mjitahidi uwanjani muwapite hata utopolo basi. Yanga kukaa juu yenu ni dharau, inafanya mpira wa Tanzania uonekane hauna thamani.
Msemaji wa Azam alitokwa mapovu baada ya post ya ukurasa wa Simba kumuhimiza Azam waichape Yanga kama hivi usemavyo. Yeye aliona kama Simba inawapangia
 
Back
Top Bottom