mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Jina lako linasadifu kwa 100% hiki ulicho comment hapa.UTOPOLO hawaruhusiwi kukoment
Kama Azam watabadili hiyo pitch kuwa kama unavyosema basi huu uwanja utapitishwa na FiFA,kubadili hiyo pitch kuwa na nyasi halisi ni rahisi zaidi ya kufunga mabango na taa za kisasa kwenye huo uwanja.Fifa hawaruhusu mechi zao za kimashindano kuchezewa kwenye viwanja vyenye nyasi bandia
Awaruhusiwi,kwasasa wasubiri kipigo cha tarehe 8.UTOPOLO hawaruhusiwi kukoment
Azam wamewekeza kwenye miundombinu, Simba wamewekeza kwenye kikosi, Yanga hawajawekeza popoteWanachofanya Azam kinasaidia kufichua uwekezaji hewa kwenye hizi timu za Simba na Yanga.
Itafikaje huko Africa bila kudominate Tanzania mkuuHii timu ikihamisha magoli na target ikawa ni Africa na siyo Tanzania itakua ni bonge la step.
Yaani nilimaanisha lengo kuu isiwe ligi. Ligi iwe ni njia tu ya kwenda huko nje.Itafikaje huko Africa bila kudominate Tanzania mkuu
Msemaji wa Azam alitokwa mapovu baada ya post ya ukurasa wa Simba kumuhimiza Azam waichape Yanga kama hivi usemavyo. Yeye aliona kama Simba inawapangiaHapa Simba tuna moja au mawili ya kuchukua, ila na nyie Azam mjitahidi uwanjani muwapite hata utopolo basi. Yanga kukaa juu yenu ni dharau, inafanya mpira wa Tanzania uonekane hauna thamani.