Chameleon- Tubonge

Chameleon- Tubonge

Naipenda pia......ngoja niidownload fasterrrrr(in my niece's vouce)
 
Mkuu ineelekea song imekubamba vilivyo basi shusha wimbo mzima kama ulivyo hapa tuuchambue tupate ukweli

Tubonge, Chameleone naomba
tubonge,
Mungu Baaba, We long ye'
Gospel time now...ooh Lord.
Verse:
**********
Nina wewe wa kweli,
Katika wote ninae ni wewe,
Anae nipenda kamili,
Bila kipimo unanipenda hakuna kiasi,
Ningetaka nikuone nikupe,
Vyote vyangu, nikupe chochote,
Unachotaka chochote upate,
Lakini sina namna ya ku kupata,
Ungekua na faasi una ishi,
Ata ingekua mbali vipi,
Ningekuja nikuone wewe,
Ungekua na nambari ya simu,
Facebook au twitter- lakini
Hata sura yo uli ificha!
**********Chorus**********

Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana,
Njo... I don't know what to do, to do,
Am waiting for you
Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana,
Njo... Rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli.
Huu rafiki yangu nimempa sasa tuzo,
Ana siri zangu nyingi siogopi mateso,
Hao wabishi hawanitishi na mawazo,
Ninae, Ninae...
Mlinzi wangu sasa mi sitaki fujo,
Nikiwa nae siogopi vya devil,
Paddy man ongeza bass na treble,
Nimtaje kama ninaimba tangazo,
Ungekua na faasi una ishi,
Ata ingekua mbali vipi,
Ningekuja nikuone wewe,
Ungekua na nambari ya simu,
Facebook au twitter- lakini
Hata sura yo uli ificha!
**********Chorus**********

Tubonge, Chameleone naomba
tubonge,
Mungu Baaba, We long ye'
Gospel time now...ooh Lord
Verse:
**********
Njo nikupe cho chote unataka,
Hatuja kutana mi nakufuata,
Njo nikukaribishe kwangu,
Njo nikupikie chakula tamu,
Naomba nikuonyeshe na watoto wangu,
Njo nikuonyeshe baba na mama wangu,
Nikuonyeshe marafiki zangu,
Nami, na moyo wangu,
Ungekua na faasi una ishi,
Ata ingekua mbali vipi,
Ningekuja nikuone wewe,
Ungekua na nambari ya simu,
Facebook au twitter- lakini
Hata sura yo uli ificha!
 
Du! Hakya nani we kiboko nimekubali mkuu. Hii ni contemporary gospel
 
serio ni mwisho wa taarifa ya habari..
Nicopy mie!
 
Last edited by a moderator:
I like , infact love Dr Chame... Ni mwanamuziki , mtunzi na muimbaji jadidi na kiukweli ana kitu cha ziada.
Unapokuwa msanii (of any shape and form - be it muimbaji, m-filamu etc) ikachanganyika na nidhamu, weledi , akili na maono, you get far.
Ndio huyu bwana. He has a family, ni mwekezaji na unaona upeo wake wa language... hata kama kuna kuchapia kimatamshi ni kidogo saana. Ila wabongo sasa tukijikita, ni kiswahili tena kibovu chenye R na L dispositions za kutisha na S na Th pasipofaa. Bado hujaongeza matusi , kutajana majina wimbo mzima hadi unapoteza maudhui na kujisifia wazimu! jamani.


Jose, asante saana kwa huu wimbo in particular- it is a killer song for me; anapoanza akiwa hospital na then kanisani na melody jamani taamuuuuuu. Nilikuwa sina hakika na baadhi ya maneno sasa kuongeza na mashairi na vina hapo juu , kwakweli hats-off kwako Dr. Asante

Asante pia Serio. Ngoja ni print nikae nao pochini. lolol.

Vianasa vidogovidogo katikati ya tabu.
 
Back
Top Bottom