Chameleone azuiwa kuondoka nchini na Shigongo kisa deni!?


msimlaumu mtu bila sababu jaribu kusikiliza.
 
maandamano ubaloz wa tz nchini ug,kushinikiza arudishiwe passport yake
 
uyu shigongo atafanya wasanii waogope kuja kupiga shoo tz,ni aibu kubwa kwa taifa mtu kuzuia passport,sijui ni sheria gani zinaruhusu hivo,ili taifa taifa ukiwa na vijisenti kidogo basi unafanya vile unaamua,taifa limelala
 
View attachment 60010 uyu shigongo atafanya wasanii waogope kuja kupiga shoo tz,ni aibu kubwa kwa taifa mtu kuzuia passport,sijui ni sheria gani zinaruhusu hivo,ili taifa taifa ukiwa na vijisenti kidogo basi unafanya vile unaamua,taifa limelala

hakuna haibu yeyote hapo tatizo letu wa tz ni kutopendana.

Yana hadi sasa hujui kama passport alisha rudishiwa.
 
Mi naona hii kama hadithi fulani, labda kuna sula lingine nje ya hii drama, maana sijawahi kusikia eti mti ananyang'anywa passport, afu eti anaenda fb kulalamika, na kudai arudishiwe. Lazima atakuwa na tatizo la akili, au kuna kitu nyuma yake hataki kuweka wazi.... tuendelee kusikiliza...
 
Shigongo kaingia choo cha kike! Hii ngoma itakula kwake!
 

Mbona tukisafiri ulimwenguni mahotelini wanabaki na passport zetu?

Ingawa haijawahi nikitokea nikashindwa kulipia gharama za hotel
 
hapa hotoki mtu,shigongo analeta uhuni kwenye kazi za watu.. Lazima mambo yapelekwe kisheri si kihuni tena na hapo ndipo mnata shuhudia Shigongo akitokwa kamasi
 
Nyie mnakuwa kama wageni kwa Chameleone...uyu alishajirusha hadi gorofani ili aandikwe kwenye magazeti achilia mbali kuslim kwa 24 hours...itakuwa kuitumia hii nafasi adimu kuuza bongo..
 
anaedai passport ni Chameleon au, kwanini asishitaki police
 
Eric,pasport ya mtu ni nyara ya serikali.Hutunzwa na mhusika na serikali tu. Kama ni kweli unayo ilrudishe haraka kwa huyo mdogo wako.
Unasema wewe ni mcha mungu, mbona unakisasi sana? Angalia ulivyo haribu maisha ya maelfu ya wa Tanzania kupitia magazeti yako yaliyo jaa mapicha ya utupu yasiyo mpendeza mungu.

Katika jina la Yesu rudisha pasport ya Chamelion!
Katika jina la Yesu nafunga unafiki wako!
Katika jina la Yesu acha kumfuata Wema na watoto wengine wanojitafutia maisha!
Katika jina la Yesu nafunga pepo linalokupa ujasiri wa kuwaumbua watu kwenye magazeti huku ukijua si kazi yako!
AMEN!
 
hivi huyu jamaa ni mwizi kila kona hata kwenye hoteli yake ya hapa dar imejaa hujuma za wizi kwenye vyumba vya wateja yaani ukiingia humo inabidi uwe unatembea na mizigo uliyoinigia nayo zaidi ya hapo lazima utaibiwa tu na ukimweleza anakuwa mkali zaidi ya hata anaehisiwa kuchukua inaonekana kudhulum ni jadi yake..sasa kakutana na mjanja zaidi yake amekoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…