Ni Kama nchi yetu ipo kwenye auto pilot hatuna serikali, na serikali tuliyonayo ni sawa na Alshabaab. Sijui ni elimu duni, ubabe au ughaidi. Kwa nini Eric shigongo amnyang'anye mtu passpoti wakati vyombo vya sheria vipo? Kikwete ondoka marakani. Ingekuwa walimu wanadai haki zao, serikali yako ingemplekea mtu mabwepande.
- Kwa nini mt mmoja anayeendesha shirika la udaku aliingize taifa kwenye mgogoro wa kidiplomasia
- Mnasahau passport siyo mali ya mtu bali mali ya nchi? Kikwete serikali yako ni ya aibu
Serikali ya Lowassa au slaa huu upumbavu hautakuwepo. Kila mtu ni kiongozi, anafanya kile anachokipenda na hakuna wa kumuuliza
This morning star singer Jose Chameleone drove his Range Rover Sport and parked it right at the Tanzania High Commission with his mattress, guitar with placards demanding one Shigongo Eric to return his passport. Shigongo is the promoter who contracted him to perform in Tanzania which he did but Chameleone's manager and another conman only identified as George, Shigongo lost USD3,500.
The star who had just performed in Rwanda - Amahoro Stadium simply dashed to the Tanzanian Embassy for a peaceful demonstration to compel them to help in retrieving his passport. A team of police officers in a police pick-up UP-2627 came to the scene and pleaded with him to stop the demonstration. The star later had a meeting with the Inspector General of Police who promised to work hand in hand
with their counter parts in Tanzania to have the matter resolved.
Related:
Chameleone's Passport Confiscated