Nyie mnakuwa kama wageni kwa Chameleone...uyu alishajirusha hadi gorofani ili aandikwe kwenye magazeti achilia mbali kuslim kwa 24 hours...itakuwa kuitumia hii nafasi adimu kuuza bongo..
anaedai passport ni Chameleon au, kwanini asishitaki police
hivi huyu jamaa ni mwizi kila kona hata kwenye hoteli yake ya hapa dar imejaa hujuma za wizi kwenye vyumba vya wateja yaani ukiingia humo inabidi uwe unatembea na mizigo uliyoinigia nayo zaidi ya hapo lazima utaibiwa tu na ukimweleza anakuwa mkali zaidi ya hata anaehisiwa kuchukua inaonekana kudhulum ni jadi yake..sasa kakutana na mjanja zaidi yake amekoma
kumbe shigongo nae ni maimuna?!, hajui kusoma wala kuandika, alishindwa hata kuwasiliana na Kinyonga?! Mbona napatikana kwenye social networks kibao na hata phone numbers zake zipo?!. Well, haya ni matatizo ya kuzoea kuingilia milango ya nyuma, nadhani itakula kwake.
We labda humjui Shigongo, nenda pale hotelini pake ulale halafu upate matatizo ndo utamjua vizuriAcha propaganda, hii sio siasa!!
Na siku ile huyu jamaa alifunika huyo Diamond alikuwa kidamba tu kwa Jose
Nimemsikiliza Shigongo vizuri alipokuwa anajieleza kwenye kipindi cha Hotmix cha EATV, Ki ukweli watanzania kazi tunayo. Kwa kuwa tuna tabia ya kudharauliana wenyewe kwa wenyewe basi hatuna budi kuendelea kudharauliwa hata na wageni ndani ya nchi yetu. Sina hakika kabisa kisheria kwa kile alichokifanya Kaka Eric, the way chameleone did to him is not fair at all. Na pia ametu-alert waTz tukae chonjo kwa utapeli wa ndugu Kinyonga. Lakini pia ametuambia kuwa alimtuma Kidumu kwenda Uganda kuonana na Chameleone, so Kidumu nae anaweza kutueleza kipi kilichojili kwenye sakata hili. Na mwisho kama mamlaka zikitambua ukweli kuwa Chameleone amemtapeli Shigongo basi awe bunned kufanya show ya aina yoyote hapa Tanzania, kama walivyomfungia Kenya.
lol, nilidhani haya mambo watu mnasema tu kumbe kuna ukweli!?We labda humjui Shigongo, nenda pale hotelini pake ulale halafu upate matatizo ndo utamjua vizuri
anaedai passport ni chameleon au, kwanini asishitaki police
hakuna haibu yeyote hapo tatizo letu wa tz ni kutopendana.
Yana hadi sasa hujui kama passport alisha rudishiwa.
Ni mahakama pekee ndiyo ina mamlaka ya kuzuia pasi ya kusafiria ya mtu yeyete, kinyume chake haruhusiwi mtu yeyote kuishika hati ya kusafiria ya mtu mwingine zaidi ya ofisa wa uhamiaji.
Shigongo anadhani ni zile stori zake za kutunga eeeh!!!