Chameleone azuiwa kuondoka nchini na Shigongo kisa deni!?

Jamani Kama nikweli anavyosema Hutu kijana Shigongo kaangukia pua, kwani pesa kitu gani au kwa pesa gani basi, anataka kumuonea kijana mdogo anaesaka tonge kwa jasho lake,Kama mwanamme akomae na walomdondosha kwenye kura, hodari wakutoa wenzie kwenye magazeti yake ya udaku ebu na yeye ajitoe....
 


Tatizo la Shigongo ni elimu ndogo aliyonayo, ndio maana hufanya mambo kwa kukurupuka kwa mtindo huo. Na ndio sababu alikurupuka kumtangaza Cheka kuwa atapigana bila kuangalia kiwango cha kidunia cha mpinzani wake. Mwisho akamuomba Cheka akubali kupima uzito tu ili watu wasiache kuja.
Na kwa taarifa nilizonazo alimlazimisha Wema Sepetu kupigana na Wolper, coz Wema alikataa katakata kupigana kutokana na kutumia mkorogo, akazima simu na kutoweka.
Shigongo akaenda kumpiga mkwara mama Wema, vinginevyo angewachafua yeye na mwanawe kwenye gazeti lake, ndo Wema akaibuliwa.
 
Tundu lisu wapi jamani amsaidie huyu jamaa

Hivi watu wakisema Watanzania tuna matatizo tutalalamika kweli? - mtu wa kawaida anawezaje kumyanganya raia wa kigeni passport YAKE!!!

Kama Dr. Jose Chameleone ameshirikiana na conman ku-swinddle SHIGONGO, basi kuna njia nyingi za kumshinikiza muhusika arudishe PESA za Shigongo na actually at the end of the DAY Chameleone ndie atahaibika. Majibu jibu na malalamiko ya Chameleone yanaonyesha hayuko innocent katika sakata hilo alijua fika kilicho kuwa kinaendelea kati ya conman huyo na Shigongo lakini alikaa kimya bila ya kumpa tahadhali SHIGONGO!

Inashangaza sana hivi SHIGONGO hajuhi kwamba passport ya Chameleone ni mali ya SERIKALI ya Uganda?????
 
ni mlokole kama mama wa Mikocheni B A....na ni kada wa CCM.

Mimi siamini kama Mlokole anaweza kumiliki magazeti ya kushangaza kama yale, niliwahi kusikia eti ni patron wa kuzuia mahabukizi ya ukimwi! Ndio nikajuwa kwamba kumbe Watanzania hatuko SERIOUS na mambo YETU.
 
Umemuelewa Chameleon lakini??
Kasema kamtafuta kwa gharama zake huyo Tapeli na kumpeleka Polisi lakini akaachiwa.
Why useme anafahamiana nae?
 

the hunter has become the hunted..... shigongo has met his match...
 
Amei withold kivipi?ilikuwaje akampa passport yake?ama kuna makubaliano ya performer kussurender hizo document kwa mwandaaji?I realy don't get this.Na huyo conman alipompeleka polisi alitoa maelezo gani.Yeye ana uhusiano gani na huyo swindler?I believe there is more on the storry that we don't know.
 
Hivi confiscation inakuwaje hapa?Huyo Shigongo ni wa idara ya uhamiaji?ebu tusaidiane kwanza hapo kuhusu ku "confiscate"
 
Tayari Dhaifu Shigongo amekubali moto wa waganda na amerudisha passport jana.
 
Sikua nimefatilia sana hilo sakata la Jose Chameleone wa Uganda na Eric Shigongo, leo baada ya kusikia kwenye habari kwamba hata DJ JD (wengi tunamfahamu) alikua dj maarufu sana hapa mjini na kwa kiasi kikubwa mtu mwenye heshima sana akilalamika kwamba alidhulumiwa na chameleone USD 3,000 miaka saba iliyopita nikaamua kufwatilia hili suala, na haya ndio niliyokutana nayo


  1. Kutoka facebook page ya chameleone utakutana lugha mbaya sana zikielekezwa kwa shigongo lakini sio tu kwa shingongo ila kwa watanzania wote, kila mganda anayeingia pale anatutukana, iliyoniuma zaidi ni post moja iliyosema watanzania ni wajinga na maskini, na hata wafanyaje hawawezi kufikia level ya waganda, imenikera, sipendi dharau.

  2. chameleone ameenda ku-protest ubalozi wa Tanzania UG, na haraka eric akaitwa na passport imeishatumwa UG baada ya wanadiplomasia kuingilia kati, lakini wakati eric kapata tabu ya kudhulumiwa, alienda ubalozi wa UG hapa, hakusikilizwa, ndio kwanza ubalozi wa UG hapa ukampa papers za kusafiria hivyo kumuwezesha kukwepa kulipa pesa anazodaiwa.

  3. Baada ya kupata passport yake jose kaendelea kujisifia kwenye mitandao kwamba yeye hawezekani, na amewaonyesha watanzania kwamba yeye ni nani (haelekezi hizo dhararu kwa eric, no anazielekeza kwa watanzania). . . Waganda, pamoja na kuwatandika 1978 lakini wanatudharau sana
 
Kama mnafanya mambo ya kimasikini, kijinga na kipumbavu mnategemea watawaitaje?
 

Ivi chanzo cha hli bfu ni nin ebu tujuze kaka mtoa mada 2jue il csirukie tren kwa mbele, mim mwenyewe naskia skia ebu funguka
 

Mbona hapo kingereza hakielewek so conman then what?
 
Ivi chanzo cha hli bfu ni nin ebu tujuze kaka mtoa mada 2jue il csirukie tren kwa mbele, mim mwenyewe naskia skia ebu funguka

kwa kifupi
  1. shigogo kafunga contract na chameleone kwamba aje kuimba, wakakubaliana amlipe USD 5000 na maeongezi yote yamefanyika kupitia official agent wa chameleone, sources mbalimbali nilizofatilia zinaonesha huyo bwana kweli ni agent wa chameleone
  2. zikiwa zimebaki siku chache, chameleone akagoma kuja akidai hajapata pesa, shigongo akalazimika kumlipa, this time chameleone akataka dola 8,000 ambazo alilipwa zote.
  3. chameleone akaahidi kufatilia zile pesa zilizolipwa mwanzo, na kwa bahati alilala kwenye hoteli ya shigongo, kwa hiyo alivoanza kuzingua kulipa, ikawa rahisi kwa shigongo kushikilia passport yake.
  4. shigongo akaenda ubalozi wa UG tanzania kupata msaada, wakamtosa.
  5. chameleone akaenda ubalozi wa UG tz wakampa papers za muda ili asafiri
  6. alivofika uganda, chamelone akakusanya fans zake, wakaenda kufanya protest kwenye ubalozi wetu
  7. akaitwa eric na watu wa serikali yetu wakamwambia arudishe passport
  8. chameleone alivopata hiyo passport akaanza kujisifu kwenye mtandao jinsi alivoitetemesha tanzania
  9. DJ JD aelezea mwanzo mwisho alivyotapeliwa dola 3,000 na huyo huyo chameleone kwa style kama hiyo hiyo, sema tu kwa John, chameleone alikiri kupata pesa na akasema atalipa ila hadi sasa bado hajalipa
 
Hiyo namaba tatu sijaipata vizuri mkuu. Unaweza kuirahisisha?
 
kwani waganda wanawazidi nini watanzania!? Labda waganda wanachowazidi watanzania ni kupigana mapumbu na kumangana kila saa utadhani mambuzi! Labda wangekuwa wakenya hapo tusingesema, lakini waganda hakuna kitu, kama wenyewe ni wajanja watatawaliwaje na mtu mmoja mamiaka yote hayo! Kwanza kwa miji mikuu Dar es salaam ipo juu zaidi ya kampala. Halafu waganda ni mavilaza, kwasababu wachizi wengi wakichemka four wanakimbilia uganda. Yaani waganda walichotuzidi labda kupigana pumbu kwa kasi! Hakuna cha zaidi mpaka watutukane sisi watanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…