Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,512
- 2,712
Habari za kazi wanajamvi.
Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria.
Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia mia moja.
Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435.
Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.